pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
Wanajamii forum naomba kuulizia, eti PGSS 2 ni shilingi ngap za kitanzania?
Hiyo PGSS 2 ni salary scale.
PGSS3 ni 588000 kwa sasa
That ranges between 300k and 450k.Na PGSS 2 ni shiling ngap kwa sasa?
Help me plz!!
sio dar tu, kama mshahara ni mdogo basi haufai popote palemishahara ya gavamenti ni midogo hivi?
sasa ukiwa dar utaishije?
Mh!......hatari kweliThat ranges between 300k and 450k.
2200000wakuu naomba munijuze ivi salary scale – PMOSS 4 ni sawa tsh. ngapi? please sana wakuu
Mbavu zangu...!unampigia mahesabu mzee wako?
1,175,000Wazee Mwenye ufahamu salary scale PGSS 6.1,ni Sawa million ngap?plz
Thank you boss1,175,000
Hakuna latest updates ??Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...
==============
July 2014 UPDATE: