Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Samahani wakuu, anayejua mshahara wa TGTS E ni shilingi ngapi?
 
Mada tajwa hpo juu ninaomba kusaidiwa salary ya scale ya PGSS 4, 5,6. Kwani Kazi niliyoaplly inaweza kuangukia kwenye hiyo category. Nataka nifaham Ili nijue nihame hpa nilipo au niendelee kuwa hpa. Sitaki kwenda kichwa kichwa.
 
Ni serekalini?

Taja hiyo sector unayoenda kufanya kazi kama ni local au central government

Then utaje na level yako ya elimu

Hapo nazano utakuwa umerahisisha kaz uli upate majibu yako
 
Nenda tu, zile zama za mshahara si hoja zimerudi, we ulizia kama kuna fursa za ule ujanja ujanja wa kulipwa sh 800,000/= kama basic, mkopo wa benki wanakata sh 300,000/= kisha unaishi maisha ya hamna hamna basi sh milioni 3.5 kwa mwezi kwa miezi yote 12 ya mwaka, ukisukuma Vogue katika umri wa 27yrs ukiwashangaa walio wengi wanakwama wapi!
 
Ni serekalini?

Taja hiyo sector unayoenda kufanya kazi kama ni local au central government

Then utaje na level yako ya elimu

Hapo nazano utakuwa umerahisisha kaz uli upate majibu yako
Taasisi ya elimu ya juu.level ni degree
 
NAUZA BIASHARA YA CAR WASH:

LOCATION: KINONDONI BLOCK 41
NAMBA YA SIMU: 0717 26 33 77

MAELEZO:

MACHINE ZOTE, UJENZI, VYOMBO, SIMTANK, KODI n.k JUMLA: TZS 7,000,000
NIMEBAHATIKA KUPATA KAZI SERIKALINI NA KITUO CHANGU KIKO MKOANI, SO NIMEAMUA KUUZA HII BIASHARA.
 
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...

==============
July 2014 UPDATE:


Mkaguzi daraja la || kwa kingereza ni nan
Barua ya maombi ktk portal ya ajira tuna andika kwa kingereza au kiswahili
 
Back
Top Bottom