Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kitu gani?Mishara
Basic 680K,baada ya makato ni 554,000/=TGHS B, naombeni kujua basic salary yake na baada ya makato inakua sh ngapi?! (Ni diploma za afya hizo)
Kodi,hifadhi ya jamii,NHIFAsante na samahan, naomba kuelewa zaidi hapo makato unazungumzia ni yapi yani.
Taasisi ya elimu ya juu.level ni degreeNi serekalini?
Taja hiyo sector unayoenda kufanya kazi kama ni local au central government
Then utaje na level yako ya elimu
Hapo nazano utakuwa umerahisisha kaz uli upate majibu yako
Level ni degree holderTaasisi ya elimu ya juu.
Kma 3m hivNaomba kufahamu mshahara wa katibu tawala wilaya
TGSCTGS D
Mkaguzi daraja la || kwa kingereza ni nanWanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...
==============
July 2014 UPDATE: