Mtalebani Mweupe
JF-Expert Member
- Mar 12, 2020
- 547
- 632
2.36Mnasubiri jibu na mimi
Hapana, Mkuu siyo 1,340,000 ni 1,270,000
LSS ndo leader salary scale mkuu au mishahara ya majaji??
LSSE ni scale wanalipwa wakuu wa Taasisi eg Wakurugenzi wa Idara, Taasisi, Halmashauri, wakuu wa Divisheni za Halmashauri n.kLSS ndo leader salary scale mkuu au mishahara ya majaji??
Ulipata jibu?Naomba kujua Ngazi ya mshahara waPUTS na PHTS
😭 Kwahy wakuu mmegoma kunijibu 😎TBCSS 3 ni sh ngapi
1,230,00Vipi kwa TAA 3 imekaaje