Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Habari wakuu Mimi Nina certificate ya laboratory technician pia Nina experience ya miaka 3 kuhusu laboratory technician, laboratory analysis, QC,QA pia blending oparetor au syrup oparetor pia naweza kufanya kazi popote pale penye maabara au panapozalishwa bidhaa .yeyote atakaye nisaidia kupata connection ya job nipo tayri kuingia naye mkataba awe anakata 10% ya mshahala wangu ndani ya miezi 12.asanteni
 
Samahani wana jamii iv mshahara wa clinical assistant baada ya makato ni kias gani
 
Mtendaji wa Kata mwenye degree
TGS D 765,000.00 Basic
Diploma TGS C 590,000.00
certificate TGS B 450,000.00
Okay thanks sana kiongozi! Na kama utakuwa na data za mapolisi huko salary zao itakuwa poa sana ukishare uzoefu! Maana nimeomba huko kibarua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…