Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

TGS A1 346,000
TGS B1 394.000
TGS C1 582,500
TGS D1 639,000
TGS E1 819,000
TGS F1 1,053,000
TGS G1 1,370,000
TGS H1 1,784,000
TGS I1 2,465,000.
Hiyo ndiyo mishahara mipya ambayo waraka
umetoka Alhamis wizaran. Inaanza Julai 2014.
Asante


Mh!! Tulionywa juu yako isijekuwa umekuja kwa gear nyingine tukakosa tiba
 
Hahahahaha raha sana inchi hii. Wacha niendelee kumaliza soli za viatu.
 
Kazi ya uzushi na matunda yake tutayaona siku chache zijazo..uvumilivu kidigo tuu hadi wiki ijayo.
 
ni kweli serilkali ina mpango wa kuongeza mishahara mipya kwa watumishi wake? tujuzane wakuu kama watu wamepata waraka. mana hadi muda huu kimya
 
Acheni kuota mchana subirini mambo hadharani next week.
 
Mkuu hii mishahara ya TZ hii au??

TGS A1 346,000
TGS B1 394.000
TGS C1 582,500
TGS D1 639,000
TGS E1 819,000
TGS F1 1,053,000
TGS G1 1,370,000
TGS H1 1,784,000
TGS I1 2,465,000.

Hiyo ndiyo mishahara mipya ambayo waraka umetoka Alhamis wizaran. Inaanza Julai 2014.
 
Mishahara mipya july(ongezeko).
TGTS A1 546,000
TGTS B1 694.000
TGTS C1 782,500
TGTS D1 839,000
TGTS E1 1,219,000
TGTS F1 2,553,000
TGTS G1 2,970,000
TGTS H1 3,284,000
TGTS I1 3,665,000, Hii ndio mishahara mipya iliyotokana na mjadala wa miaka karibu 5 kat ya CWT NA SERIKALI Inaanza kutumika Julai,2014. By MWL OLUOCH - KKM-CWT.SASA WALIMU KAJENGE ACHENI KUPANGSHA VILABUN. HILI LITHIBITISHE. Naomba maoni yako mzee

ikiwa hivi mwaka huu tutanunua na viwanja.
 
Mishahara mipya july(ongezeko).
TGTS A1 546,000
TGTS B1 694.000
TGTS C1 782,500
TGTS D1 839,000
TGTS E1 1,219,000
TGTS F1 2,553,000
TGTS G1 2,970,000
TGTS H1 3,284,000
TGTS I1 3,665,000, Hii ndio mishahara mipya iliyotokana na mjadala wa miaka karibu 5 kat ya CWT NA SERIKALI Inaanza kutumika Julai,2014. By MWL OLUOCH - KKM-CWT.SASA WALIMU KAJENGE ACHENI KUPANGSHA VILABUN. HILI LITHIBITISHE. Naomba maoni yako mzee

Kumbe mwalimu anaonewa inamaana hicho kiasi hapo juu nachenyewe hapewi. Mpaka watu wanashangaa kwamba haiwezi tokea. Hapana jamani mbona huo mshahara TGTS D1 ndo anapewa dereva shirika moja hapa nchini
 
Ndugu wana bodi, anayeuliza ni mwajiriwa mpya serikalini ofisi ya mkuu wa mkoa kama afisa tawala, mshahara wake ni TGSD1, je hii ni sawa na shilingi ngapi kwa mwezi na take home ni shilingi ngapi?

Shukrani wana bodi
 
Angalia waraka hapo kwa afisa tawala, barua yako imekuita kwa sh ngapi?
 
ndugu wana bodi, anayeuliza ni mwajiriwa mpya serikalini ofisi ya mkuu wa mkoa kama afisa tawala,mshahara wake ni TGSD1,je hii ni sawa na shilingi ngapi kwa mwezi na take home ni shilingi ngapi? Shukrani wana bodi

mwajiriwa mpya?!!!
kwani utumishi wameshatoa majina ya waliofaulu usahili wa maafisa tawala uliofanyika tarehe 20 june?!
 
Back
Top Bottom