Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Kuna ngazi za,mishahara za parastal organizations ,PGSS, Hazipo humu,kama vile SIDO,VETA,VYUO VIKUU,TANESCO N.K,wenye kuzijua wazitupitie zote tena zile current kabisa
nami nlitaka kujua hivi Vyuo Vikuu, VETA, SIDO etc wao wanatumia scale zipi maana sizionagi hata wakizitaja kwenye matangazo yao ya kazi zaidi ya kusema mshahara mzuri kwa mujibu wa scale zao!!
 
Mashirika wao mishahara yao hupangwa bodi zao kulingana na mapato ya shirika husika.

Mishahara wanayolipana NSSF haiwezi kuwa sawa na mishahara ya GPSA.
 
sawa kama wanapangiwa na bodi zao lakini nafkiri hata tujue hizo scale zao zinaitwaje, mfano VETA na SIDO scale zao ni zipi? ni hizo PGSS au zipi haswa?
 
Laz Auto Car wash inatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenyewe uzoefu wa kazi ya kuosha magari. Waadilifu,wachapakazi,watiifu na wenye uzoefu.
Laz Auto Car wash inapatikani Kinondoni nyuma ya Best Bites ya Namanga.
Piga simu Na. 0717 26 33 77
 
Habari Wakuu...naomba mnijuze au kama mtu ana document inayoonyesha udadavuzi wa scale hii ya mshahara PGSS 6 anisaidie
 
TRAS 4 na TRAS 3 ni sh.ngapi mwenye kufahamu hii maana hamna anayejibu
 
Laz Auto Car wash inatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenyewe uzoefu wa kazi ya kuosha magari. Waadilifu,wachapakazi,watiifu na wenye uzoefu.
Laz Auto Car wash inapatikani Kinondoni nyuma ya Best Bites ya Namanga.
Piga simu Na. 0717 26 33 77
Ngazi ya mshahara mkuu🤔🤔
 
Back
Top Bottom