Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

ukiwachunguza kwa ground maisha yao magumu sanaaaa...hizo nilizotaja ni level za diploma kuna mdogo wang kachaguliwa iyoo naona atanizidi mkuu alafu zitakuwa dharau mm na degree yangu sipati mshahara uo aiseee
😄😄 Sasa jiandae kwny kikao Cha familia dogo ataanza kusikilizwa kuliko wewe na atakua role model wa kila mtu kwny familia,Hahah.Nazingua mkuu,muombee dogo heri.
 
Hivi wakuu viwango vya mishahara vya pccb vinakuwaje kwa investigation officer na assistant investigation officer?
Au huwa wanalipwa kutokana na fani?
 
Back
Top Bottom