1.8MTRAS 1 ni sawa na shilingi ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1.8MTRAS 1 ni sawa na shilingi ngapi?
Inasadikika,...narudia inasadikika kuwa haifiki hata 70,000Wakuu tupieni viwango vipya vya ongezeko la 23% kwa TGTS
Inasadikika,...narudia inasadikika kuwa haifiki hata 70,000
Kwa hiyo hii inahusu Watumishi wa Serikali Kuu tu?
Sahivi basic ni 740,000/= Take home 613,000/=Naomba kujua mshahara wa laboratory technicians mwenye diploma anaeanza kazi basic ni ngapi na take home ni ngapi Asante
Mkuu, ulishapa jibu..?Naomba kujua mshahara wa laboratory technicians mwenye diploma anaeanza kazi basic ni ngapi na take home ni ngapi Asante
Hii ni Unazungumzia kwenye hospital zetu za Serikali..?Sahivi basic ni 740,000/= Take home 613,000/=
Udsm sijui scale zaoHii ni Unazungumzia kwenye hospital zetu za Serikali..?
Na vipi Laboratory Technician on institution like UDSM..?
Naona wanaandikaga PUSS.. utakuta PUSS 2, PUSS 4,, that so..Udsm sijui scale zao
PUSS 2 basic ni 836,000/=, puss 4 basic ni 1,465,000/=, take home zake sifahamuNaona wanaandikaga PUSS.. utakuta PUSS 2, PUSS 4,, that so..
We jamaa umeshindwa kuwauliza wenzako ofisininaomba msaada wa vote namba na sub-vote namba za idara ya afya
PUSS 2 ni mshahara wa diploma ya medical laboratory technology au ?PUSS 2 basic ni 836,000/=, puss 4 basic ni 1,465,000/=, take home zake sifahamu