Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Nchi hii siyo fair kabisa. Graduate huyohuyo akiajiriwa idara kama TRA, psssf au BOT analamba zaidi ya mara mbili yake.
Hiyo TGSD ukitoa hapo makato ya kodi, bodi, bima, psssf etc....unabakiwa na kama 500k ambayo ni chini ya 20k/day
 
Nisaidie hii PRSS 1 ni shingapi? Ipo kwenye salary scale ya TANZANIA WILDLIFE RESEARCH INSTITUTE
Hiyo mishahara ya taasisi mara nyingi huwa ni siri sirini. Tofauti na hii ya halmashauri(serikali kuu) akina TGS ambazo huwa zinajulikana wazi
 
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...

==============
July 2014 UPDATE:

Mpya hakuna??
 
Hiyo mishahara ya taasisi mara nyingi huwa ni siri sirini. Tofauti na hii ya halmashauri(serikali kuu) akina TGS ambazo huwa zinajulikana wazi
Taasisi ni inalipa vzr sana mkuu
 
Hivi mshahara wa medical doctor (MD) mwenye experience ya miaka 10 ni kama kiasi gani. Nataka kulinganisha na mishahara wa watumishi wa ofisi ya Mwanasheria mkuu ambayo inaonekana kuwa minono sana!
 
Hivi mshahara wa medical doctor (MD) mwenye experience ya miaka 10 ni kama kiasi gani. Nataka kulinganisha na mishahara wa watumishi wa ofisi ya Mwanasheria mkuu ambayo inaonekana kuwa minono sana!
Iyo experience ni akiwa anafanya kazi ofisi gani?Ili iwe rahisi kupata jibu sahihi
 
  • Thanks
Reactions: apk
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...

==============
July 2014 UPDATE:

samahani nauliza mishahara ya tanzania broadcast coorporation (shirika la utangazaji tanzania) TBC, kwa mfano umeandikiwa ngazi ya mshahara wako ni TBCSS 5. hii ni sawa na shilingi ngapi?
 
Back
Top Bottom