Ndama Jeuri
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 1,520
- 1,504
So wanafanana na mshahara wa mwalimu ngazi ya cheti?Tgs B ni kama inachezea kuanzia 420,000/= hadi 470,000/=
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So wanafanana na mshahara wa mwalimu ngazi ya cheti?Tgs B ni kama inachezea kuanzia 420,000/= hadi 470,000/=
Tgs B ni kama inachezea kuanzia 420,000/= hadi 470,000/=Wale wa kata je?
Ndio Iko hivyoSo wanafanana na mshahara wa mwalimu ngazi ya cheti?
So wanafanana na mshahara wa mwalimu ngazi ya cheti?
Hiyo ni mishahara mipya baada ya mama kutoa nyongeza, Mwanzo walikuwa 390,000/=So wanafanana na mshahara wa mwalimu ngazi ya cheti?
Hiyo ni mishahara mipya baada ya mama kutoa nyongeza, Mwanzo walikuwa 390,000/=
Na vipi, kuhusu immigration?jamani naomba kujua ukweli kwa anaee jua
eti nikweli kuwa level ya Shahada Polisi wanalipwa 720,000? salary?
na magereza nikweli wanalipwa 780,000?
naomba kujua ukweli.
765kTGS D ni kiasi gani kwa sasa?
Nchi hii siyo fair kabisa. Graduate huyohuyo akiajiriwa idara kama TRA, psssf au BOT analamba zaidi ya mara mbili yake.765k
Hiyo mishahara ya taasisi mara nyingi huwa ni siri sirini. Tofauti na hii ya halmashauri(serikali kuu) akina TGS ambazo huwa zinajulikana waziNisaidie hii PRSS 1 ni shingapi? Ipo kwenye salary scale ya TANZANIA WILDLIFE RESEARCH INSTITUTE
Mpya hakuna??Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...
==============
July 2014 UPDATE:
Taasisi ni inalipa vzr sana mkuuHiyo mishahara ya taasisi mara nyingi huwa ni siri sirini. Tofauti na hii ya halmashauri(serikali kuu) akina TGS ambazo huwa zinajulikana wazi
Iyo experience ni akiwa anafanya kazi ofisi gani?Ili iwe rahisi kupata jibu sahihiHivi mshahara wa medical doctor (MD) mwenye experience ya miaka 10 ni kama kiasi gani. Nataka kulinganisha na mishahara wa watumishi wa ofisi ya Mwanasheria mkuu ambayo inaonekana kuwa minono sana!
Akiwa anatibu hospitalini - Tuseme hospitali ya Wilaya.Iyo experience ni akiwa anafanya kazi ofisi gani?Ili iwe rahisi kupata jibu sahihi
Anatakiwa awe TGHS-G sasa sijui Kiwango hicho ni kiasi gani maana TGHS-F Nafahamu ni 1,800,000/= kabla ya nyongeza ya SSH july 2022Akiwa anatibu hospitalini - Tuseme hospitali ya Wilaya.
samahani nauliza mishahara ya tanzania broadcast coorporation (shirika la utangazaji tanzania) TBC, kwa mfano umeandikiwa ngazi ya mshahara wako ni TBCSS 5. hii ni sawa na shilingi ngapi?Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...
==============
July 2014 UPDATE:
PRSS 1 analingana na TGS ENisaidie hii PRSS 1 ni shingapi? Ipo kwenye salary scale ya TANZANIA WILDLIFE RESEARCH INSTITUTE
Ambayo ni 1M kabla ya makatoPRSS 1 analingana na TGS E