Ngiri (Warthog ): Naomba wataalamu watueleze Kwa kina kuhusu huyu Mnyama

Mi namjua kwa utamu tuu nyama yake wee acha tuu ukiibanika
 
Kuna vituko vingine anafanyaga akiona kaboreka anatafuta walipo pundamilia au nyumbu halafu anaanza kuwarushia mchanga. Siku akaona haitoshi akaenda mtoni kabisa kakuta mamba kalala zake akaanza kumrushia mchanga afu akatimua mbio
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nimeona hyo clip ya kumrushia mamba mchangaโ€ฆafu akakimbia
 
Acha ubishi huyo ni nguruwe pori tuliomla tunajua ngozi sio pana sana ,nyama mpk harufu ya nguruwe na mafuta anayo
Haha mkuu Acha ubishi bhasi, jamaa amekupa mpaka na jina la nguruwe pori ili ukitaka uthibitishe upitie humo lakini bado tu unakazia. Kiufupi nyama zao hazitofautiani sana kati ya boar/ wild swine (nguruwe pori) na warthog (ngiri) zote ni nyekundu sana na zina mafuta. Wengi mmekuwa mkichanganya hawa wanyama wa aina mbili. All in all wanatoka kwenye kingdom moja
 
Haiondoi maana kuwa wote ni nguruwe mkuu tuelewane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ