Kwa siku za Hivi karibuni ukipita kwenye mitandao ya kijamii utakuta huyu Mnyama anasema Kwa utani hasa speed yake.
Sasa Kuna wimbo wake sijui ni kabila Gani na una maana gani Kwa anayejua anaweza kutuambia maana ya =>Kasongo yeyeeeee mombali nangai, kasongoooo mbona weooo songa limala
oooohhh yeyeyeee. Kasongo mbona weooo, mbona weeeeooooooo.๐๐.
Pia Kuna baadhi ya page wanasema Hivi๐๐๐น๐น๐น
When scientists were ranking animals, the warthog was in his holes so they ended up crowning the wrong guys. King of the jungle title went to the lion and fastest went to the cheetah but both titles belong to the hog.
Third title for the warthog is for reverse parking. Dude can reverse into a hole in the middle of a high speed chase ๐๐คฃ acceleration from zero is like a race car and brakes are instant.. i think its time we crown the right champions with all fairness.. if a cheetah can chase a hog and fail to catch it then we have a new champion, the V16 bi-turbo 6.5L AMG engine ๐คฃ
Sasa ukweli ni upi? Nahitaji kujua zaidi kuhusu huyu Mnyama.
Nimewaona sana Kisarawe Pwani
View attachment 3124447wanasema Kwa Sasa ndoThe king of the jungle ๐๐
View attachment 3124449Binafisi nafurahi sana pindi niliona clip zake jinsi anavyokimbia!!
View attachment 3124446
Nimewawekea na clips