Ngiri (Warthog ): Naomba wataalamu watueleze Kwa kina kuhusu huyu Mnyama

Ndo wenge hilo. Ngiri kichwa kipo speed, hakipo sawa.
Halafu ikitokea unajitia hasira kwa uharibifu alofanya eti unamkimbiza , mwanzoni atakimbia japo kwa kiburi fulani hv lakini baadaye ghafla anakugeuzia kibao. Lazima upande kwenye mti uliokaribu zaidi vinginevyo utajifunza yale meno yaliyojitokeza kama pembe yana kazi gani.
 

Nimecheka sana aseee
 

Ako kadude kakishanyoosha mkia juu ni hatari.
 
Ningekua na kiwanda cha magari ningetembea na huu upepo! Gari ningedizain vizur kwa Brand name "warthog" alafu inapigwa marketing hiyo mbona watu wangeushambulia huo mzigo..
 
Nimejaribu kumfuatilia yupo haswa nakuwa napata sifa mbili Kwa mzungumzaji huyu mara yule nae anasema sifa kadhaa. Kwakweli huyu Mnyama naona ndo anavituko kuliko wote
 
Yeah! Yupo smart ujue. Hiyo ni ili kama adui atazidi kujileta karibu, yy hutoka chap' kwa speed ya 5G na kwa yale meno yake lazima akutie jeraha 3-5 inches deep na endapo atakutaim' vizuri atamwaga utumbo wako chini. Kaa mbali.
Kumbe Yale meno ni hatari vile. Nilikuwa naona kama hayatumii sana vile yamechomoza Kwa Nje!!
 

Kwenye hizi video, wengi unaowaita "chui" sio chui, ni Cheetah
 
Weee! Waulize wanaowinda au kujaribu kumfukuza huyo mwmba kwa kutumia mbwa. Ni fasta mbwa wako atakuwa utumbo unaning'inia nje.
Mang'ati na wasukuma kule pwani walikuwa Wana waua Kwa mbwa lakini walikuwa wanatumia hasa mikuki mara kadhaa nimewasadia kumbeba Hadi kambini wateja wanakuja kuchukulia pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…