OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Exactly yes. Ni mtunzaji mzuri wa mazingira. Lakini pia ni hulka (instict)yake hiyo.Honey badger nasikia hata haja kubwa huwa hajisaidii hovyo,kama ni Temeke ni huko huko,hata akibanwa akiwa Kimara anaweka furushi la majani kuziba isitoke anarudi Temeke kujisaidia,ukitaka kuprove hili nenda sehemu anapojisaidia lazima ukutane na mafurushi ya majani yaliosokotwa...
