Ng'ombe mwenye thamani ya IST

Nenda arusha Kuna ranch ipo USA river pale ngombe Wana tani 1 na zaidi, usiongee usichokijua
 
βœ…πŸ™πŸ™πŸ™
 
Inawezekana mkuu. Ingia mtandaoni uone wsnavuonufaika wafugaji wa huko "dunianai"
Umesema duniani
Sasa huko siko mkuu
Nimekulia kwenye mifugo na ninaijua sana na ninaifuatilia kwa ukaribu sana
Wapo wawekezaji wamehama nchi zao kama wakenya na wameenda Botswana unapewa ardhi na unaweka Ranch yako sio ka ng'ombe kamoja
Pia Namibia kuna matajiri wakubwa wana hectares 9000
Mkuu kama una hela huko ndio pa kuwekeza Botswana au Namibia
Unachungwa na patrol ni 24 hours na kama kuna kitu ni simu moja tu police hawa hapa
Madawa ni ya uhakika ni mengi yako huko ila kwa Tanzania ni wachache sana wenye utajiri huo wa mifugo
Kuwekeza wenzetu wameanza zamani sana kuwa na ng'ombe wa kizungu na Boran asili yao ni Ethiopia, Kenya na Somalia
Ila sisi walikuwepo ila wachache sana hata mbuzi wa Boer na kondoo wakubwa wa Somalia ndio wameletwa miaka ya karibuni
Mbuzi ana 100 kg Boer wakati wetu ni nusu yake
 
βœ…πŸ™πŸ™πŸ™
 
Ufugaji unalipa, ila sio rahisi kama mwamba anavochukulia.
Inataka uwe nao hapo hapo mkuu kuna jamaa mmoja ametoka πŸ‡ΊπŸ‡Έ karudi nyumbani Uganda anajiita Valuefarm
Nimemfuatilia tangu anaanza kununua ardhi mile 76 toka Kampala
Anasema changamoto ni nyingi ila moja ambayo ilinishtua na amejifunza kutokuwa na wauguzi toka nje yaani wa kuja kuwatibu aliwatumia sana ila kuna wengine sio wazuri wanapewa hela na mahasimu ili wawachome mifugo sumu
Sasa ana waganga wake mwenyewe na anawalipa vizuri
Jamaa kajiendeleza taratibu alianza na Mbuzi tu
Yupo YouTube anauza pia pure
Huyo sio motivation speaker bali a napambana haswa
 
βœ…πŸ™πŸ™πŸ™
 
Lakini unalipa sana!
 
πŸ™πŸ™πŸ™
 
Mkuu, nashukuru sana kwa taarifaπŸ™

Nitamfuatilia, huenda "nitaokota"
 
Hapo ndiyo mpaka upate uhakika wa ngo'mbe wako kukupa hizo lita 60, kumbuka huwa kuna siku anatoa maziwa pungufu na pia uwe unauza hayo maziwa yote kila siku yasibaki hata glasi moja
Ukishakuwa na uhakika wa kupata maziwa mengi kila siku, unatafuta watu wa kuingia nao mkataba wa kuwapelekea maziwa kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…