GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
- #101
โ ๐๐๐watakuambia yakibaki yanafaanywa mtindi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
โ ๐๐๐watakuambia yakibaki yanafaanywa mtindi
Nisamehe mkuu๐Mkuu kwann unaroho mbaya hivi?Yani video mb 13.1,sisi akina tia maji tutaangaliaje?
๐คฃ๐คฃ๐คฃInabidi nianze kuzungukia maeneo ya msoga nipate hata ndama wa hyo breed kwa kuanzia aisee.
Nyenda tu mkuu! Mzee hana roho ya kitu.Inabidi nianze kuzungukia maeneo ya msoga nipate hata ndama wa hyo breed kwa kuanzia aisee.
๐Biashara ya pdf
Nenda arusha Kuna ranch ipo USA river pale ngombe Wana tani 1 na zaidi, usiongee usichokijuaUzitowake si chini ya kilo 1,000 yaani tani moja.
Umenikumbusha Kikwete alikwenda Zimbabwe akashangaa kuona ng'ombe anauzito unaozidi tani moja, mpaka anaondoka madarakani hakuiwezesha nchi iwe na ng๐ฑmbe wa aina hiyo, hapo ndipo utaona ziara zao huwa kwa manufaa yao tu.
๐Tena Kuna Wengine Walitoka Namibia Kwa Malori Maalum
Tanzania Uongozi Mtamu
uchukue Na Tausi
โ ๐๐๐Hongera sana Bwana Urio nimeupenda sana mradi wako. Naomba nijulishwe bei ya mbwa moja ni kiasi gani na wastani wa gharama ya matunzo yake kwa mwezi. Ninataka kuachana na ulinzi wa Makampuni ambao wananitoza gharama kubwa ya ulinzi. Ikiwezekana nipate namba yako ya mawasiliano.
Umesema dunianiInawezekana mkuu. Ingia mtandaoni uone wsnavuonufaika wafugaji wa huko "dunianai"
โ ๐๐๐Hongera sana Bwana Urio nimeupenda sana mradi wako. Naomba nijulishwe bei ya mbwa moja ni kiasi gani na wastani wa gharama ya matunzo yake kwa mwezi. Ninataka kuachana na ulinzi wa Makampuni ambao wananitoza gharama kubwa ya ulinzi. Ikiwezekana nipate namba yako ya mawasiliano.
Inataka uwe nao hapo hapo mkuu kuna jamaa mmoja ametoka ๐บ๐ธ karudi nyumbani Uganda anajiita ValuefarmUfugaji unalipa, ila sio rahisi kama mwamba anavochukulia.
โ ๐๐๐Boran bull anapatikana SA mnadani anauzwa kuanzia rand 2m kuendelea mpaka 3m pana mfugaji mmoja wa Arusha miaka ya nyuma alimnunua nadhani haikupungua 60m kwa kipindi hicho ila gharama ya kupandisha ng'ombe kwake ipo juu sana inaendana na gharama za kumtunza huyo Boran bull..
Lakini unalipa sana!Ningewaomba kitu kimoja hii mifugo ipo ya aina tofauti tofauti, ila ni kweli unakuta Ngombe, Mbuzi ,kondoo nk wapo wa ukubwa tofauti tofauti shida inakuja sasa unapo mmiliki juu ya matunzo tunampatiaje ili kupata matokeostahiki? hii miradi kila tunapo taka kuianza inatupasa kufanya upembuzi yakinifu kwa kina, maana swala la malisho na madawa stahiki kwa muda maalumu hilo ndio changamoto kubwa sana kwetu.
Mfano utampokea Ngombe toka huko aliko toka akiwa na Kg kiasi flani na Maziwa labda huwa alikuwa anatoka kiasi flani je una mpatia chakula inavyo takikana na virutubisho vya kumtosheleza? na ukiambiwa sasa inatakiwa penistrep na vatamin na makolo kolo mengine kama laki 3 hivi wakati hajaanza kukupa hizo lita unatoa? Kwakweli ufugaji una hitaji uvumilivu na kujitojea sana.
???Anaongea kama vile ni fremu ya duka unachukua kodi tuu.
๐๐๐Mara mia ufuge mbwa,kama unataka hela. Maziwa nunua tu.
Kwa nini mkuu?uongozi mtamu sana mkuu, tausi wanasema eti haruhusiwe kumilikiwa na watu wa kawaida,
โ ๐๐๐Nenda arusha Kuna ranch ipo USA river pale ngombe Wana tani 1 na zaidi, usiongee usichokijua
๐๐๐Umesema duniani
Sasa huko siko mkuu
Nimekulia kwenye mifugo na ninaijua sana na ninaifuatilia kwa ukaribu sana
Wapo wawekezaji wamehama nchi zao kama wakenya na wameenda Botswana unapewa ardhi na unaweka Ranch yako sio ka ng'ombe kamoja
Pia Namibia kuna matajiri wakubwa wana hectares 9000
Mkuu kama una hela huko ndio pa kuwekeza Botswana au Namibia
Unachungwa na patrol ni 24 hours na kama kuna kitu ni simu moja tu police hawa hapa
Madawa ni ya uhakika ni mengi yako huko ila kwa Tanzania ni wachache sana wenye utajiri huo wa mifugo
Kuwekeza wenzetu wameanza zamani sana kuwa na ng'ombe wa kizungu na Boran asili yao ni Ethiopia, Kenya na Somalia
Ila sisi walikuwepo ila wachache sana hata mbuzi wa Boer na kondoo wakubwa wa Somalia ndio wameletwa miaka ya karibuni
Mbuzi ana 100 kg Boer wakati wetu ni nusu yake
Mkuu, nashukuru sana kwa taarifa๐Inataka uwe nao hapo hapo mkuu kuna jamaa mmoja ametoka ๐บ๐ธ karudi nyumbani Uganda anajiita Valuefarm
Nimemfuatilia tangu anaanza kununua ardhi mile 76 toka Kampala
Anasema changamoto ni nyingi ila moja ambayo ilinishtua na amejifunza kutokuwa na wauguzi toka nje yaani wa kuja kuwatibu aliwatumia sana ila kuna wengine sio wazuri wanapewa hela na mahasimu ili wawachome mifugo sumu
Sasa ana waganga wake mwenyewe na anawalipa vizuri
Jamaa kajiendeleza taratibu alianza na Mbuzi tu
Yupo YouTube anauza pia pure
Huyo sio motivation speaker bali a napambana haswa
Ukishakuwa na uhakika wa kupata maziwa mengi kila siku, unatafuta watu wa kuingia nao mkataba wa kuwapelekea maziwa kila siku.Hapo ndiyo mpaka upate uhakika wa ngo'mbe wako kukupa hizo lita 60, kumbuka huwa kuna siku anatoa maziwa pungufu na pia uwe unauza hayo maziwa yote kila siku yasibaki hata glasi moja