Ngorongoro - Loliondo: Askari Polisi amekufa baada ya kupigwa Mshale mmoja tu, RC Mongella amlilia

Hata jamaa aliwahi kusema JPM ni mzima wa afya na anaendelea hazi. Kumbeee duhhh!!
 
Nilipanga kwenda ngorongoro Crater huu mwezi wa sita mwishoni ila kwa yanayoendelea hapana aiseeh acha niende zangu Masai Mara Kenya
 
Nyumbu bhana...kwani PM alitoa kauli hiyo muda gani na kifo kimetokea muda gani?, kauli ya PM ilikuwa mahsusi kwa clip ya juzi yake na si juzi wala jana.
 
Tutaelewana tu
 
Kwanini Waziri mkuu anakuwa na siasa za kitoto kiasi hiki?
Kwanini aongee uongo mkubwa namna hii?
Kuna mtu aliwahi kusema msikitini, baada ya swala ya Ijumaa, kwamba; “rais wetu ni mzima, na anafanya kazi zake kama kawaida!”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…