InvisibleTarget
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 1,138
- 2,176
mtu ukiwa na t@kO kubwa akili huwa inahamia huko.!IGP afanye maamuzi magumu vikosi viende Ngorongoro walio husika na mauaji ya askari wakamatwe na kufikishwa mahakamani sababu kama wamedhibiti magaidi wa mtwari sembuse hao wamasai.
Ndugu wabunge Ngorongoro inatisha ni kama Ukraine, polisi wanapiga risasi wamasai nao wanajilinda kwa mishaleWewe ungeongeaje!!?
na hapo ndo waandishi wa bongo wanavyoufyata ,walitakiwa wawe eneo la tukio kutoa updates za moja kwa moja. Ingekuwa umbea ungewaona wanavyomchambua diamondHao majeruhi hawana akili! Yaani wajitokeze ili wakamatwe! Mkuu wa Mkoa hayuko serious hata kidogo.
Na kama hakuna mapigano, huyo askari ilikuwaje akapigwa huo mshale? Naona nguvu kubwa inatumika kuficha huu mgogoro!
Kama watu wanahama hiyo mipaka wanawawekea wanyama?
Hii nchi ya hovyo sanaNgorongoro na Loliondo!!!! mbona vinachanganya
Wananchi wapi wanatakiwa kwenda Handeni?
Ni wanachi wa tarafa ya Ngorongoro, Loliondo au wote?
Inawezekana tena watashinda mbona serikali nyingi tu duniani zimepwayaWamasai wanafikiri wanaweza shindana na serikali!???
WEWE ni huelewi lolote unatakiwa akili iamkeNatamani wawauwe askari wote mpaka na mkuu wa mkoa
Mura tatah! Maneno imekuwa mbaya.Askari Polisi mmoja ameuawa kwa kupigwa mshale wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wakati wa zoezi la uwekaji mpaka katika eneo la pori tengefu kwenye Tarafa ya Loliondo.
Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella akisema kwamba kifo hicho kilitokea Juni 10 alasiri, na kusisitiza kwamba kama serikali wanatambua uzalendo wa askari huyo.
Ametumia nafasi hiyo kuwataka wananchi wa Tarafa ya Loliondo wilaya ya Ngorongoro kuwa watulivu na kusikiliza maelekezo ya serikali katika zoezi la uwekaji mipaka.
Wananchi wanatakiwa na Serikali kuhama katika eneo la Ngorongoro na kwenda kuishi Handeni, Tanga ambapo Serikali itawasaidia katika kuhama. Nia ikiwa ni kuhakikisha uhifadhi endelevu katika Hifadhi ya Ngorongoro.
Baadhi ya Wananchi wa Ngorongoro hawataki kuhama katika ardhi yao ya asili kwani Wanaishi hapo kisheria na Wanatambulika.
View attachment 2257198
Picha iko wapi Mkuu tuwe na uhakiki! Waziri Mkuu kashasema hakuna tatizo. Haumwamini au ndio unamgonga Nchale Naye!!MONGELLA: ASKARI AMEUAWA KWA MSHALE LOLIONDO
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amethibitisha kutokea mapigano Wilayani Ngorongoro katika eneo la Loliondo ambapo askari polisi mmoja aliuawa jana Juni 10, 2022
“Alasiri ya jana (Juni 10) askari mmoja aliuawa kwa kupigwa mshale na kundi la watu lililotokea likitaka kuathiri zoezi la kuweka alama,” - Mongella
Aidha, RC Mongela amesema hakuna kituo chochote cha Afya ama hospitali yenye majeruhi na ameomba kama wapo wajitokeze.
Lakini wote na malikia hangaya nae aliongopa enzi zileAlisema mnataka Rais aonekane wapi, Magomeni ?
Ambayo kwanza ni dharau kwa watu wa Magomeni!
Kwamba Rais hategemewi aende Magomeni...
Hajui Rais wa kwanza wa nchi hii alitokea Magomeni siku anaapishwa.
Pamoja na kusema hvyo . cop kaenda kweli kapigwa mshale kichwani. Ila mshale pia waweza kuwa ni tatizo binafsiSpika kasema pelekeni ushahidi Bungeni ili serikali Ilitolee ufafanuzi jambo hili .siyo hizi habari za mitandao.
Yawezekana askari alikuwa na matatizo yake mwilini.
Tarafa ya Ngorongoro ndo inabidi wahame kabisa, Halaf Tarafa ya Loliondo wamemega eneo lao 1500kmsq kumpa mwarabu wananchi wasiingie, na kumbuka kuwa Rais wa Tanzania ana asili ya Kiarabu ni shida tupuNgorongoro na Loliondo!!!! mbona vinachanganya
Wananchi wapi wanatakiwa kwenda Handeni?
Ni wanachi wa tarafa ya Ngorongoro, Loliondo au wote?
Alikuwa anafichwa baadhi ya mambo na hata sasa bado anazungukwa au wanamtega. Kuna kinachoendelea nyuma ya pazia huko Serekalini.Aliyemwambia kwenda kudanganya msikitini wakati mwendazake alikuwa ameshakufa kitambo leo anaenda kudanganya Bungeni wakati uhalisia unaendelea.
Msikiti wa Bukoba?Haya hapa yanapewa na kuzawadiwa mbuga zetu mali asili za wa masai wakristo baada ya kujenga msikiti.