Ngorongoro: Tundu Lissu atimiza malengo yake

Huyo shetani hapo katikati hawezi kuwa karibu na nyerere hata kule mbinguni hayupo atakuwa anawaka moto balaaa kama jehanamu kupo.
Hapana, huyo sio shetani. N JPM baba lao aliyeletwa duniani ili awe rais wa muda mfupi kutimiza alichopewa na mungu kuwafundisha watu nidhamu.
 
Kimsingi Lissu amefanikiwa Malengo yake kwa 100% , Hii ndio tofauti kati ya Akili ndogo na Akili kubwa .[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
amekataa ukibaraka wa mabwenyenye.
sio huyo tu viongozi wote wa kitaifa wameshtukia deal, we mtu wa kiki kama checkbob Lema na Heche unadhani wangekosa kwenye eneo la tukio kama ingekua sio deal?
 
Kimsingi Lissu amefanikiwa Malengo yake kwa 100% , Hii ndio tofauti kati ya Akili ndogo na Akili kubwa .[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes very true amefanikiwa pakubwa.

But pia waandamizi wenzie wa kitaifa wamefanikiwa zaidi kusense na kunotice the visions and missions of the man nationally and Internationally
 
Poyoyo tu yule taahira.

Kwa wajinga wenzake lazima mumuone ana akili. Si mnajulikana kondoo mliokosa wachungaji.
Nyote, hata huyo Samia wenu, mnayo hofu kubwa sana kuhusu Tundu Lissu. Ni haki yenu kuwa na hali hiyo, kwa sababu safari hii hamponi. Mtazolewa tu na tsunami inayojijenga wakati huu.
 
Mimi nafasi hiyo nampa Edward Sokoine, kataa ukitaka, lakini ukweli ndio huo. Hawa watu waliipenda Tanzania na kuitumikia kwa mioyo yao yote.

Tundu Lissu, 'by default', na yeye inamlazimu sasa kujitoa hivyo, na atafanikiwa tu.
Hiyo nafasi mnaitoa kwa kigezo cha upendo/Uzalendo? Vipi vigezo
 
Upo sahihi kabisa... Ni Julius Nyerere, JPM na wa tatu ni Lissu
JPM maarufu kwa Udikiteita/mauaji and the like!! siyo kwa wema wa kutoka moyoni, alikuwa anajifanya mwema to win the majority with low thinking capacity
 
Hakuna mfumo unaoweza kumshinda Mungu
Alafu aya mambo sijui mfumo , ndo umefanya watu tena kakundi kadogo tu kutufikisha apa kama taifa, Wakefie mbele huko, wenye mfumo ni wananchi wenyewe period,

Sio huo mfumo wa wahuni wachache ambao ukaa kulazimisha watu vilaza kamata nafasi za juu, safari hii watajua hawajui
 
Ww unazingua sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwahiyo hizo hino mlizoahidiwa mlipewa?

Hebu nje ya uongozi wa huyo magufuli aliitumiaje elimu yake juu ya wananchi wa tz na kufanikiwa kwayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…