Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 817
- 881
"Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) na vyama vya siasa vya upinzani barani Afrika katika karne hii, vinaendeshwa kwa ushabiki na kiki nyingi kupita kiasi.
Kuna mambo wanayoyafanya hadi unajiuliza iwapo watu hawa wamepoteza uwezo wa kufikiri, au tatizo ni kukosa ajenda madhubuti za maendeleo kwa jamii.
Matokeo yake, mzigo unabaki kwa wananchi wasio na uelewa ambao huishia kuchukiana wao kwa wao; sawa na shabiki wa mpira anayezimia kwa sababu timu yake imefungwa, au kama wale wanaojitwika jukumu la kuitetea dini kwa jazba wakati wameikuta tu."— Alloyce, P.R.