TANZIA Nguli wa Soka Duniani, Mbrazili Pele afariki dunia

Dini gani?
 
Utakumbukwa Pele kwa namna maisha yako ya soka yalivyowagusa watu katika soka. Pumzika kwa amani
 
Utakumbukwa Pele kwa namna maisha yako ya soka yalivyowagusa watu katika soka. Pumzika kwa amani
Hapa KISIJU wengi hawamjui, aligusa maisha ya kina Nani? Mtu ameshindwa kuchangia hata ujenzi wa madrasa? Visima? U-legend unatoka wapi?
 
Hawezi mwambia hizi takataka, yaani aache kumsimulia jinsi messi alivyo chukua kombe la dunia aanze kumsimulia takataka za simba sijui blah blah blah,,,,, eboo
Amwambie messi kaisha kabaki mapenati tu
 
Hapa KISIJU wengi hawamjui, aligusa maisha ya kina Nani? Mtu ameshindwa kuchangia hata ujenzi wa madrasa? Visima? U-legend unatoka wapi?
Waislam bana[emoji23] mnapenda sana kuchangiwa changiwa, si mtoe sadaka za kutosha na kuweka vitega uchumi mjijengee wenyewe?

Gadaffi na wengine kawajengeeni, bado mnataka na Pele awajengee???

Poor you.
 
Punguza chuki
 
Hapa KISIJU wengi hawamjui, aligusa maisha ya kina Nani? Mtu ameshindwa kuchangia hata ujenzi wa madrasa? Visima? U-legend unatoka wapi?

Huyu marehemu wanampamba sana.. ingelikua ndio Messi mtoto wa pele dah.. ila ndio hivyoo wakubali tu MESSI ndio THE GREATEST FOOTBALL OF TIME, itachukua miaka mingi sana au huenda isitokee kumpata MESSI mwingine,
 
BBC world service wanarusha live breaking news toka sao paulo brazil. Makala maalumu zinaoneshwa enzi za uchezaji wake na katika matukio mengi ya kimichezo aliyoshiriki, BBC wanamuelezea kama mchezaji bora wa nyakati zote

Yani mimi ndio sina time kuangalia, niache kuangalia vitu muhimu na vyenye faida kwangu eti niangalie kumbukumbu zake
 
Yani mimi ndio sina time kuangalia, niache kuangalia vitu muhimu na vyenye faida kwangu eti niangalie kumbukumbu zake
yule ni nguli wa soka duniani, wapenda soka wanafuatilia rekodi zake, vyombo vya habari duniani vinamuandikaje baada ya kuondoka duaniani. Kama si mshabiki wa mpira wa miguu hutamuelewa Pele alikuwa nani kwenye ulimwengu wa soka
 
Mtumie vyote ivyo avione
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…