Tetesi: Ngurumo: Chacha Heche wale watu wasiojulikana wanakufwatilia kwa gari Number hii T494DDU Noah silver

Hamna jipya nyie wanga. Kila siku huyyu anafatiliwa huyu hivi huyu vile. Kwishneeeeee siasa imewashinda. Mmechukua majambazi,wavuta bangi na wachungaji kwenye siasa. Mmechemsha labda Lowassa na Sumaye watawasaidia kidogo maana palikuwa patupu huko
 
Bangi hizo ubongo umechanganyika na mavi output 0
Kumbe unabugia bange mpaka ubongo unachanganyika na kinyesi ndo mana unapoteza mwelekeo[emoji83] [emoji196]
Sikupi hata pole vulugwa tu na mibange yako mpaka utembee huku goli lako la nyuma liwe wazi[emoji117] [emoji108]
 
Hivi hao wanaofuatiliwa wanashindwa nini kuji-organise na kuwateka wao? Watu wakufuatilie saa kadhaa wewe upo upo unajichekeshachekesha ka taahira vile?
 
D

Dua la kuku hilo. Wauaji mnao wenyewe huko kwa kugombea madaraka. Sisi tumeshayapata na njia nyeupeeeee 2020. Kaeni mdanganywe na kina wavuta bangi Kimambi na huyo bwege mzushi. Jawabu langu ni hiyo attachment ... ni kweli au uongo?


Wauaji,

Vyama siku hizi vina wapiga propaganda viazi namna hii.

Ndio maana hata wanaochaguliwa na kuteuliwa ni maandazi tupu.
 
Upuuzi wa hawa watu unakera sasa
Ufuatiliwe wewe nani
 
Zimejaaaa tele
Akili zako zote zinaishi Gheto kwa Le mutuz kubwa jinga na Cyprian msiba wanaowatuma kuja kusumbua watu mitandaoni huku wakilipwa mamilioni pesa za walipa kodi, ni Aina ya matumizi mabaya ya pesa za Umma,
 
Reactions: BAK
Dhalimu muuaji again!!!!

 
Nini hakijaeleweka Mkuu!? Mbona kaweka kila kitu wazi kabisa!? Ila hizo namba zinaweza kuwa ni FAKE NUMBERS.

Huyo jamaa naona anaelekea kuwa kama gazeti la udaku sasa.....Kwa nini asitulie awe anatoa taarifa za kueleweka...

Muda sio mrefu watu watakosa uaminifu kwake.
 
Huyu shetani mlomchagua si afe tu kuliko kuuwa wengine.Ee Mungu mpe kilema cha maisha,mpe ukoma akose miguu,mikono na midomo ikatike kinywa kibaki wazi ashindwe kusema.
Hayooo yooote yatakurudia wewe lioneee
 
Duh, CCM bila kula nao sahan moja Chadema mtaisha!!!
 
Mzushi tu wewe huna lolote. Hata hii ulitengeneza wewe na kutuaminisha hivyo. Wewe safisha vyoo vya wazungu huko. Tuko ok wanaowatumia wameingia choo cha kike
Hakuna mtu anatumwa kuikosoa CCM na Mtukufu malaika toka chato pamoja na Naibu Rais Maliyamungu Bashite, watanzania wameamua kujituma wenyewe toka rohoni mwao pasipo kutumwa na mtu kwani wamechoka na manyanyaso,pesa nyingi inatumika kukandamiza Demokrasia badala ya kuogeza mishahara ya watumishi wa Umma, na maendeleo ya viwanda nk, Pesa nyingi inatumika kwa mambo ya hovyo hovyo kuwanunua wabunge, madiwani kurudia chaguzi kwa gharama kubwa badala ya maendeleo.
 
D

Dua la kuku hilo. Wauaji mnao wenyewe huko kwa kugombea madaraka. Sisi tumeshayapata na njia nyeupeeeee 2020. Kaeni mdanganywe na kina wavuta bangi Kimambi na huyo bwege mzushi. Jawabu langu ni hiyo attachment ... ni kweli au uongo?

We ni sawa na shetani maana wakati wote humtetea lucifer shetani mkuu
 
ni taarifa nzuri. hiyo gari ikionekana popote ichomwe moto. dawa ya moto ni moto.....
 
Mzushi tu wewe huna lolote. Hata hii ulitengeneza wewe na kutuaminisha hivyo. Wewe safisha vyoo vya wazungu huko. Tuko ok wanaowatumia wameingia choo cha kike


kama hikuhusu piga kimya tu isije tokea upande wako utajuta
 
Noted
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…