Nguvu kubwa imetumika kuwapiga Houth na hakuna kilichobdilika. Vita enzi hizi ni ngumu kushinda

Umeona nyuzi zangu humu au shobo ?

Za nini...... what is so special about you! May be your interests haziendani na zangu....Unalazimisha nikufahamu...! Sio Mimi nimekuambia uchangie mada hii....Njia zetu zimekutana.... Kaandike vitabu kama unataka kujulikana.....Au hupendi kuwa contradicted! Hoja yako ni Hoja yako......
 
Imeshagota kwenye sakafu ya kina cha uduni.
Yemen ni failed state
 
Shule umekwenda wewe tu! Inasikitisha sana.....
 
Huoni kma ni mjinga ulivyavamia comment yangu ,kwani hujitambui mpaka uleta shobo kwa kwangu ?..Kaa pembeni sina time na wajinga.!
 
Imeshagota kwenye sakafu ya kina cha uduni.
Yemen ni failed state

Mashabiki wao hawataki kusikia hayo.....Wasting resources kwa kitu ambacho hakima msaada kabisa kwao, Israel haijawahi kuwa mgomvi wao....Ushabiki wa kidini tu.
 
Huoni kma ni mjinga ulivyavamia comment yangu ,kwani hujitambui mpaka uleta shobo kwa kwangu ?..Kaa pembeni sina time na wajinga.!

Unaleta nyuzi hutaki negative comment...Mimi mjinga wewe mpuuzi....Usilete nyuzi halafu unashindwa kupokea negative comments....Ulitaka wote tukuimbie mapambio!
 
Negative vip ? sasa kama unaleta shobo maa comment za watu si ukae pembeni..kwa nn una shobo dogo?๐Ÿ˜…
 
Huoni kma ni mjinga ulivyavamia comment yangu ,kwani hujitambui mpaka uleta shobo kwa kwangu ?..Kaa pembeni sina time na wajinga.!

Kwa hiyo wewe ndio Alwaz.......? Shobo ipi? Hujui chochote kile.....Sijui ni harufu ya udini au nini.......
 
Negative vip ? sasa kama unaleta shobo maa comment za watu si ukae pembeni..kwa nn una shobo dogo?๐Ÿ˜…

Sikai pembeni hata kidogo.....Leta hoja? Unataka tutoe comments unazotaka wewe...Hiyo Si Jamii FORUM....
 
Kwa hiyo wewe ndio Alwaz.......? Shobo ipi? Hujui chochote kile.....Sijui ni harufu ya udini au nini.......
Comment yangu ni free hata wewe unaweza kutoa yako ,ukija upande wangu ku'reply angalia na uwezo wako kwanza.
 
Una uwezo upi hasa.....Unajidanganya mwenyewe....Shida sana kudhani unajua kumbe hujui.....Sijaona kitu chochote factual kutoka kwako katika mada hii.....! Usijdanganye jamaa yangu.....
 
Dogo kaa pembeni !๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…Sioni unachojua hata kuandika unajifunza hapa.!
 
Kwa nini unataka nianzie Congo? Umeshindwa hoja unaanza kusema Ushabiki wa Maandazi.....Ndio msomi wewe? Labda ulikaa madarasani tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ