Nguvu kubwa imetumika kuwapiga Houth na hakuna kilichobdilika. Vita enzi hizi ni ngumu kushinda

Unajua population ya Yemen lakini? 32. Million.....Ujermani ilishindwa kwa kupigwa vita vya pili....Vita sio kuua Polupaltion yote! Vipi Uganda, Tuliuwa Waganda wote!
Piga nikupige hapo wanapigana na Marekani sio wanyonge...
 
Mbona hawaishi na vita inaendelea 😅😅

Piga nikupige hapo wanapigana na Marekani sio wanyonge...

Matokeo yake ndio haya.....Waendelee kurusha roketi zao...

1708171013016.png
 
Matokeo yake ndio haya.....Waendelee kurusha roketi zao...

View attachment 2906980
Acha kujidanganya kama unajua madhara ungeanza hapo congo ,hapo wote wanapata hifadhi kwa waarabu wenzao kaangalie trucks za misaada huko.

Hapo kwa weusi wenzao kaangalie hata hifadhi hawana then unaleta ushabiki maandazi ,hayo mambo unafikria yameanza mwaka jana !?
 
Mbona wewe huandiki kuhusu Congo....Haya Houthi wamemzika kamanda....

1708171404087.png
 
Acha kujidanganya kama unajua madhara ungeanza hapo congo ,hapo wote wanapata hifadhi kwa waarabu wenzao kaangalie trucks za misaada huko.

Hapo kwa weusi wenzao kaangalie hata hifadhi hawana then unaleta ushabiki maandazi ,hayo mambo unafikria yameanza mwaka jana !?

Wewe unaleta ushabiki wa Chapati? Kwa huanzishi mada kuhusu Congo....! Sio mimi nimeanzisha uzi huu....Ni Huyo Shabiki wa Houthis....Ulitaka tukae kimya?
 
Unataka niandike uzi sio ? Fuatilia comments zangu ndio utajifunza dogo

Nini cha kujifunza toka kwako....Nini Kimekuleta humu....Congo sio mbali.....Nenda Kigoma tu...Ukivuka umefika....yaache ya Houthis...Hujui hata wanatafuta nini....?
 
Acha kujidanganya kama unajua madhara ungeanza hapo congo ,hapo wote wanapata hifadhi kwa waarabu wenzao kaangalie trucks za misaada huko.

Hapo kwa weusi wenzao kaangalie hata hifadhi hawana then unaleta ushabiki maandazi ,hayo mambo unafikria yameanza mwaka jana !?

General view of the Khan Younis refugee camp where much of the population relies on assistance from the United Nations Relief and Works Agency (UNRWA), in Southern Gaza, 19 January 2018. UNRWA, the UN refugee agency responsible for Palestinians, will launch a global fundraising campaign to make up for tens of millions of dollars withheld by US President Donald Trump. The agency supports some 5 million Palestinian in Jordan, Syria, Lebanon and the Palestinian Territories. Photo: Wissam Nassar/dpa​

Captions are provided by our contributors.

Wanyonge wanaishi kwa msaada wa UNRWA toka 1948......Pesa yote inashia kujenga Mahandaki.......Maana maji bure, umeme bure, dawa bure...! Kila siku nashangaa akili za Waarabu...
 
Unasema misaada ya Gaza inatoka kwa Waarabu wenzao...? Usifurahishe baraza....Unajua toka awali nani ni mtoa msaada mkuu.....Hizi ni Data za UNRWA

GOVERNMENT PARTNERS​

UNRWA is funded almost entirely by voluntary contributions. The only exception is a very limited subsidy from the Regular Budget of the United Nations, which is used exclusively for administrative costs. The work of UNRWA could not be carried out without sustained contributions from state and regional governments, the European Union and other government partners, which represented 94.9 per cent of all contributions in 2022.
In 2022, 44.3 per cent of the Agency’s total pledges of US$ 1.17 billion came from EU member states, who contributed US$ 520.3 million, including through the European Commission. The United States, Germany, the EU, and Sweden were the largest individual donors, contributing a cumulative 61.4 per cent of the Agency’s overall funding.

OUR TOP GOVERNMENT DONORS FOR 2022​

Siku ya mwanzo Marekani na Uiengereza walipoanza kushambulia Houth kule Yemen maeneo karibu 85 ya Houth tuliambiwa yamepigwa na picha za moshi ukifuka tukarushiwa.

Kuna watu walijua Houth imeisha lakini siku iliyofuata Yahya Sarea akatoa tangazo kulenga meli nyengine na watu hawakuamini.

Baada ya hapo Marekani kipekee na wakati mwengine Uiengereza anajiunga wameshambulia mara nyingi sana.Rada zote za Houth tuliambiwa zimevunjwa vunjwa.Zaidi ya hivyo droni na makombora ya Houth tukaambiwaa sasa yanawindwa na kuwahiwa kuangamizwa kabla hata hayajarushwa hewani.

Meli na majahazi yanayopeleka silaha kwa Houth kutoka Iran mara kadhaa zimeshikwa na meli hizo kuzamishwa na shehena zake japo mara moja askari wawili wa US walisukumwa majini.

Yote hayo yaliyotokea kumbe si chochote.Houth kila siku wanarusha makombora kwa meli zenye mafungamano na Israel,Marekani na Uiengereza.Matangazo ya Houth hayabaki kuwa ni kampeni na propaganda tu bali yamekuwa yakithibitishwa na mataifa hayo bila kutaja hasara wanazozipata.

Hapo juzi na jana mfululizo meli za Uiengereza za mizigo ya nafaka na mafuta zimerushiwa makombora na kukoswa koswa.Hali hiyo haiyapi mashirika ya meli furaha na uhuru wa kutumia bahari ya red sea.

Mashirika makubwa ya usafirishaji mizigo baharini kama Maersk wamesalimu amri na kusema hawawezi kubahatisha kupita maeneo hayo ya Houth kwa kuamini ulinzi wa Marekani na Uiengereza ambao meli zao zenyewe zikiwemo za kivita haziko salama.

Defiant Houthis claim fresh Red Sea attacks on US, UK ships

Ufikiriavyo sivyo, umachokiita nguvu kubwa kamwe UK na US hawajawahi kuvitumia dhidi ya hao Houth. Sijui wewe uliiona wapi? Maana walicjofanya ni kuzuia mashambulizi, si kuwasambaratisha.
mtarudi mnalia hapa
 
General view of the Khan Younis refugee camp where much of the population relies on assistance from the United Nations Relief and Works Agency (UNRWA), in Southern Gaza, 19 January 2018. UNRWA, the UN refugee agency responsible for Palestinians, will launch a global fundraising campaign to make up for tens of millions of dollars withheld by US President Donald Trump. The agency supports some 5 million Palestinian in Jordan, Syria, Lebanon and the Palestinian Territories. Photo: Wissam Nassar/dpa​

Captions are provided by our contributors.

Wanyonge wanaishi kwa msaada wa UNRWA toka 1948......Pesa yote inashia kujenga Mahandaki.......Maana maji bure, umeme bure, dawa bure...! Kila siku nashangaa akili za Waarabu...
Unaposikia homeless unajua nn ? Shule umesoma kweli ?

Watu hawana makazi wamekimbia makazi yao na vita inaendelea yaani waafrica kwa waafrica... Egypt anajenga sehemu ya kuhifadhi wapalestina bado gari za misaada kibao mpaka israel anazui.

Kumbuka Palestine na israel ni maitafa mawili ...Ndani ya wapalestina kuna ndugu zakow wagalatia
 
Back
Top Bottom