Nguvu nilizowekeza kwenye ujana wangu nakula Matunda yake sasa

Ubarikiwe sana kwa kutushirikisha
na ubarikiwe zaidi kama hukutumia fedha za umma ki wizi ili kujilimbikizia utajiri.
Ni hayo tuu kwa leo.
 
Mzee ungeelekeza vizuri namna ulivyoanza kuwekeza na sehemu ulizowekeza uzi wako ungekuwa na manufaa sana Kwa wasomaji, ila Kwa style hii uliyokuja nayo uzi wako umejaa majigambo na mipasho.

Uwe na j.pili njema nawe pia
Huyu mzee yuko kwenye uvuvi 🤣🤣
 
Ushauri mzuri sana lakini bandiko lako linaacha maswali kichwani.
Kwanini ufiche mwaka wa kumaliza chuo mpaka uandike mwaka x?
Umesema unashare kisa jinsi ulivyofanikiwa kwanini umeshindwa kufafanunua miradi uliyowekeza? Ina ukakasi? Naamini kabisa lengo la kushare story yako ya mafanikio ilikuwa kutoa hamasa kwa vijana, fafanua miradi yako vijana wahamasike.
Mtu aliyesoma elimu ya mkoloni hana uandishi wa kisasa mfano matumizi ya emojis, matumizi ya x, itoshe tu kusema wewe ni kijana japo umetoa ushauri mzuri kwa vijana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa maoni yako,

Ila nilishaeleza hapo awali vitega uchumi vizuri ni
-shamba la mboga
-ufugaji wa ngombe, nguruwe
-appartment kadhaa
-wakala mpesa
- savings kwenye bank yenye interest nzuri

Hivi havijawahi kunipa stress hata kidogo mkuu
 
Mzee ungeelekeza vizuri namna ulivyoanza kuwekeza na sehemu ulizowekeza uzi wako ungekuwa na manufaa sana Kwa wasomaji, ila Kwa style hii uliyokuja nayo uzi wako umejaa majigambo na mipasho.

Uwe na j.pili njema nawe pia
Huyu mzee kwakweli, sijui anataka waonekane vijana hawana adabu!

Sasa ngoja nimuulize mzee, je uwekezaji gani ni wa uhakika ambao kijana akiuwekeza ataendelea kula faida maisha yake yote?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Uwekezaji wowote ule una probability ya (loose na gain)

Mimi wangu nishaelezea hapo juu nilivyoufanya, (real estate, agriculture, na savings zenye interest nzuri mbona utavuna tu mkuu)

Ndio kiti kinachoniwezesha na kuniweka mjini mimi,
 
Hamna mkalifu duniani hapa bora mimi nili forge wengine waliochota pesa za taasisi je?

Mkuu acha tu, kila mtu ana pungufu lake
Hamna mkalifu duniani hapa bora mimi nili forge wengine waliochota pesa za taasisi je?

Mkuu acha tu, kila mtu ana pungufu lake
Ni kweli ila kutenda dhambi huku ukijua kabisa na huenda ukawa unawaumiza wengine ni dhambi kubwa sana.

Mara nyingi wezi mafisadi huwa wanawacheka wasio wezi kwa kuwa hawajafanya maendeleo makubwa kwa hela za wizi na huwakejeli kuwa walikuwa wazembe.

Wewe upo wapi?
 
Sikuwahi kuiba, ila tu niliforge cheti basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…