Nguvu ya CHADEMA ni kubwa sana, Lissu na Heche Mungu awabariki sana

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
11,613
Reaction score
13,543
Kwema wakuu, amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.

Rejea mada tajwa.

Wakuu, Lissu na makamu wake Heche Mungu awabariki sana. Kwa sasa kama CCM hawajui ,asilimia 85 ya watanzania ni CHADEMA. Kwa nini nasema hivi Ichi chama misingi yake imejikita kwenye haki na watanzania wote kwa sasa wanaimba neno haki.

Bwege (R.i.p) amefariki ila tumeona kwenye mitandao mbalimbali namna watanzania wameguswa na kifo chake, sasa njoo wa majuzi uyo wa Iringa utashangaa

CCM kubali na mwachieni Lissu haraka sana , vinginevyo yajayo mtashangaa.

Thanks
 
Yaani ni kama wamepigwa UPOFU..ngoja tuje tuisikie hiyo ''TUME"" ya Jaji Chande
Wameanza kuipiga mawe walioiteua wenyewe. Kiongozi wa tume ni mzee sana anachukua maoni ya wananchi kama yalivyo 💯. Amekataa kukubali kuchukiwa na wengi apendwe na genge la wauaji. Waliowateua wanaona giza kuu mbele. Wameanza kuwatisha wakubali kuihamishia CDM mpira. Mzee anasema anasema kuhamisha mpira haiwezekani muda hatuna. Mpira lazima uchezwe kati. Sisi tunasubiria VAR tu
 
Labda kubwa huko kwa mumeo, yaani ukweni kwako ulikoolewa.
CHADEMA walisema 'no reforms no election'...na kweli 29 oktoba watu wengi zaidi (kwa ushahidi wa wazi kbs) hawakujitokeza kwenda kumpigia kura kilaza samuya!

CHADEMA wangekuwa hawana nguvu wananchi wangewapuuza badala yake ccm ndio ikapuuzwa!.
 
HAhahahaaa. Umechelewa kweli wewe, tulivyo pimbi unafikiri ile ni chadema?!!! Umeachwa kidogo na ulimwengu
CHADEMA walisema 'no reforms no election'...na kweli 29 oktoba watu wengi zaidi (kwa ushahidi wa wazi kbs) hawakujitokeza kwenda kumpigia kura kilaza samuya!

CHADEMA wangekuwa hawana nguvu wananchi wangewapuuza badala yake ccm ndio ikapuuzwa!
 
Wameanza kuipiga mawe walioiteua wenyewe. Kiongozi wa tume ni mzee sana anachukua maoni ya wananchi kama yalivyo 💯. Amekataa kukubali kuchukiwa na wengi apendwe na genge la wauaji. Waliowateua wanaona giza kuu mbele. Wameanza kuwatisha wakubali kuihamishia CDM mpira. Mzee anasema anasema kuhamisha mpira haiwezekani muda hatuna. Mpira lazima uchezwe kati. Sisi tunasubiria VAR tu
Hatari na nusu hii
 
Chadema imekufaaaa(huku umebana pua) wakati wameshindwa kufanya maridhiano wakiwabembeleza
Nchi hii bila chadema kuitawala itakua ngumu, hakuna kipindi chadema inapendwa na watz kama sasa na hakuna kipindi ccm inachukiwa na watz kama sasa, watanzania kufuraia vifyo vya viongozi kutoka ccm ni ishara tosha
 
Kwa sisi wenye umri mkubwa tunacheka tu tukiona habari kama hizi.......subirini 2030, mtajua kama hamjui!!
 
Umri mkubwa kama wa Wasira ,unasaidia nini, mlikua mnatumia simu za kukoroga, vibatari, pasi za mkaa, mnaadika barua na lile dude lityper flan , sasa maisha ayo utayalinganisha na sasa ,

Mlioishi mda mrefu mpaka sasa kwenye taifa ni hasara tupu,

Mnakumbuka maisha ya kizamani kizamani tu.

No way ccm itaenda chomoka ,pamoja na dola kuwa na ccm.

Zamani ccm waliiba chaguzi ila miezi kukika mda huu watu huwa wamekubali sasa ni mwezi wa tano ,mambo magumu sana
 
Tulia ndg, si unesema nchi yoyote hii ni chadema?!!! Msije kugombana tu 2030
 
Wameanza kuipiga mawe walioiteua wenyewe. Kiongozi wa tume ni mzee sana anachukua maoni ya wananchi kama yalivyo 💯. Amekataa kukubali kuchukiwa na wengi apendwe na genge la wauaji. Waliowateua wanaona giza kuu mbele. Wameanza kuwatisha wakubali kuihamishia CDM mpira. Mzee anasema anasema kuhamisha mpira haiwezekani muda hatuna. Mpira lazima uchezwe kati. Sisi tunasubiria VAR tu
Tume hii hii mnayoiponda kila uchao mpk TEC hawaitaki lkn mara mshaanza kuofagilia!! Ama CDM mko vizr
 
Kwema wakuu, amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.

Rejea mada tajwa.

Wakuu, Lissu na makamu wake Heche Mungu awabariki sana. Kwa sasa kama CCM hawajui ,asilimia 85 ya watanzania ni CHADEMA. Kwa nini nasema hivi Ichi chama misingi yake imejikita kwenye haki na watanzania wote kwa sasa wanaimba neno haki.

Bwege (R.i.p) amefariki ila tumeona kwenye mitandao mbalimbali namna watanzania wameguswa na kifo chake, sasa njoo wa majuzi uyo wa Iringa utashangaa

CCM kubali na mwachieni Lissu haraka sana , vinginevyo yajayo mtashangaa.

Thanks
Ndio ukivuta bangi unawaza hivyo,huyo lissu si shujaa,ngoja akomae kwanza
 
**cha
Nchi hii bila chadema kuitawala itakua ngumu, hakuna kipindi chadema inapendwa na watz kama sasa na hakuna kipindi ccm inachukiwa na watz kama sasa, watanzania kufuraia vifyo vya viongozi kutoka ccm ni ishara tosha
1.**chadema imepta nguvu mpya imezaliwa upya yenye mvuto mpya kwa wanachi wote wakubwa kwa wadoo

2.wakati mboga mboga imepoteza mvuto ndani na nje ya nchi na heshima yake duniani,imepoteza kukubalika na ushawishi wake ..ya ni hata chawa wake na wasanii wakionekana wapo karibu na kijani ,itafikia itakuwa aibu kuvaa mboga mboga imekufa inabebwa na vyombo vya dola.
 
Back
Top Bottom