Nguvu ya CHADEMA ni kubwa sana, Lissu na Heche Mungu awabariki sana

1.chadema pamoja na viongozi wake kufungwa gerezani kuundiwa kesi za mchongo ,wanachama kununuliwa kuunga juhudi,na kuanzisha kesi na kuhamia chauma,kuziwa kufanya mikutano

kutoshiriki uchafuzi

bado imekuwa na nguvu kubwa na kukubalika.

ccm walipaswa kusikiliza ushauri wa pole pole na gwajima..

shimo walilotumbukia hawawezi kutokamo.(wangeaikiliza ushauri wa gwajima na polepole).
 
Yaani ni kama wamepigwa UPOFU..ngoja tuje tuisikie hiyo ''TUME"" ya Jaji Chande
Tume ni dodoki la kumsafisha Samia, ndiyo maana wamebuni usenge wa wanaume kuibiwa nyeti kwa njia za kishirikina, toka lini serikali ikaamini katika ushirikina?
 
Tume hii hii mnayoiponda kila uchao mpk TEC hawaitaki lkn mara mshaanza kuofagilia!! Ama CDM mko vizr
Nani anaifagilia?. Tunaongelea kile kinachoendelea. ccm mmezoea kuabudiwa. Ikitokea mmoja anataka kwenda against na lile genge anapelekewa warestshaji
 
Mno
 
Nani anaifagilia?. Tunaongelea kile kinachoendelea. ccm mmezoea kuabudiwa. Ikitokea mmoja anataka kwenda against na lile genge anapelekewa warestshaji
Mnaonaje kama tume ya Jaji Chande itasema serikali ndo walokosea na CHADEMA walionewa! Bila shaka mtaipongeza sana tu
 
Mkono wa Mungu daima husimama kwa mwenye HAKI.

Zaburi 5:12 NEN (Neno)

Kwa hakika, Ee BWANA, unawabariki wenye haki, unawazunguka kwa wema wako kama ngao.
 
Mnaonaje kama tume ya Jaji Chande itasema serikali ndo walokosea na CHADEMA walionewa! Bila shaka mtaipongeza sana tu
Kwa wewe kuwaza hivyo inaweza kuwa sawa ksbb umeishia hapo. Lakini wanaojua CHADEMA haipo hata kuitaja kwenye tume kwa neno lolote. CHADEMA ndio walikuwa wanalanda labda mitaani kupiga risasu?. CHADEMA wana uwezo wa kuamrisha hayo?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…