Nguvu ya kanisa katoliki, Kesho ijumaa kuu. Butcher zitafungwa

Sio maana hiyo tu
Tunaamini kesho ijumaa kuu Yesu atamwaga damu ya thamani hivo tunaheshimu damu ya kila kiumbe
 
kufunga mmeshindwa.kukaa masaa kuminambili bilakula chakula hamuwezi mtaweza kuacha kula nyama kweli?mbwa nyie🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪
 
Sio kweli
 
Watasema unakufuru bro , wewe itakua wa jehanam moja kwa moja😄
 
Kufunga sio kujionyesha Kwa watu kama wafanyavyo wanafiki ili wajulikane kama wanafunga
Kufanya hivo ni unafiki
 
Catholic wapo vizuri mno hawa kenge wengine wapo tu kukamilisha mission ya Roman Catholic Church.
Kanisa katoliki Lina mzizi
Kuna hao wana calender kutoka Saidia ila Huwa hawaifuta
Ukiwauliza Leo tarehe ngapi wanakwambia Leo tarehe 19 April 2025 kama ilivo Vatican
 
Nipo Ngara Jimbo katoliki la Rulenge - Ngara
Kwa mhashamu Baba askofu Severini Niwemugizi
Et huko Rulenge Ngara bei ya nyama zote (Mbuzi,ng'ombe,kitimoto) inaligana au nilidanganywa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…