Nguvu ya kanisa katoliki, Kesho ijumaa kuu. Butcher zitafungwa

Kitimoto hakiliwi na baadhi ya watu,Je Kimeacha kuliwa na Watu wote?
 
Kwanini msubiri mpaka kesho, nyama za kitimoto zinapatikana usiku huu na hata kesho zinapatikana kila kona
 
Nipotoke nini tena?
Kuna mahali po pote kwenye Biblia ambapo Yesu alisema kila Ijumaa tusile nyama ili kukumbuka kifo chake?
Hizo ni sheria, taratibu na tamaduni za kanisa.
Ni lini Yesu au imeandikwa wapi kuwa kila Jumapili mkusanyike kanisani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…