Chukulia kwamba muhusika kauwawa, na wauwaji hawakuchukua chochote, ( waliuacha mkoba na fedha kama ulivyookota). Hii point yako itakusaidia?wanaangalia na aina ya mtu mkuu.
Mimi mtumishi wa umma, ninapokea mshahara wangu, nina biashara yangu nimeajiri mtu, n.k siwezi kuwa suspected kirahisi namna hio kwamba nianze kukaba watu..
😂😂😂😂😂Kwa hyo milioni 1 na laki 3 ukazirudisha kwa mwenyewe.
Mimi NI muislam lakini hapo kwenye hela pangekuwa mtihani.
Wapo wengi humu wanaanzaga kama hiviWatu mnaona mbaaali saaana
Eti mi mtumishi, siyapo matumishi majambazi tu...
yaani hapo ningetoa hizo hela.Hamisi Hamisi Hamisi nimekuita mara tatu
Kwamba cha kuokota sio cha kuiba!! Vibaya hivyoyaani hapo ningetoa hizo hela.
Hyo wallet ningeiweka sehemu nzuri ambapo msamaria mwema anaweza akaiona kuiokota na kumtafuta mwenyewe.
break ya kwanza ningekwenda tigo pesa kumuwekea mtu wa reseni ya udereva.[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]daahh!ungemsolola au siyooo!!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Hapanaa.unaangalia na hali yako.Kwamba cha kuokota sio cha kuiba!! Vibaya hivyo
Karma is a bit**.break ya kwanza ningekwenda tigo pesa kumuwekea mtu wa reseni ya udereva.
Break ya pili Samsung Galaxy S7 edge+ Mimi team Samsung.
Alafu narudi kulala
Kuwa na imani kila penye magumu ipo njia ya kutokea ila si kwa njia hiyo unayosema weweHapanaa.unaangalia na hali yako.
Wengine humu tunatembelea rim humu.hatuko sawa.
Mimi nimetapeliwa zaidi ya milioni 150 za urithi na ndugu.Karma is a bit**.
kilio ambacho angelia, maumvu ambayo angepata, shida ambazo angepitia kwa sababu yako amini usiamini zingekufungia milango kadhaa, malipo ni lazima.
Laiti ingekuwa ni pesa ya bahati ningeitumia kulainisha january
Ehee.unataka mpaka malaika ashuke mbingu aje akwambie hyo ndo hela ya reseni uliyokuwa unamuomba mungu?Kuwa na imani kila penye magumu ipo njia ya kutokea ila si kwa njia hiyo unayosema wewe
God bless you brother. Watu wachache sana kama WEWE siku hiziwanaangalia na aina ya mtu mkuu.
Mimi mtumishi wa umma, ninapokea mshahara wangu, nina biashara yangu nimeajiri mtu, n.k siwezi kuwa suspected kirahisi namna hio kwamba nianze kukaba watu ?
Ingekuwa sina ajira, sina shughuli maalum, n.k nisingejisumbua huko kote maana naijua vizuri hii system
Pole yake mkuu.Kuna shemeji yangu aliokota simu 2013 amekaa nayo asubiri atakayepiga smu ampe maelekezo jinsi ya kuipata!! Ilikua asubuhi kufika saa kumi jioni ikapigwa simu akatoa maelekezo waende ofisini kwake smu aliokota asubuhi wkt anaenda kazini!..
Nakusalimu