MUSIGAJI
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 2,254
- 2,715
Chukulia kwamba muhusika kauwawa, na wauwaji hawakuchukua chochote, ( waliuacha mkoba na fedha kama ulivyookota). Hii point yako itakusaidia?wanaangalia na aina ya mtu mkuu.
Mimi mtumishi wa umma, ninapokea mshahara wangu, nina biashara yangu nimeajiri mtu, n.k siwezi kuwa suspected kirahisi namna hio kwamba nianze kukaba watu..
Point yako ni sawa kama mlengwa alikabwa akauwawa na wakaondoka na laki tano au milioni alafu wakatupa mkoba na vitambulisho ndo ukaviokota. ( Hata hii pia hatokuwa rahisi kivile kwako).