Nguvu ya mitandao: Nimeokota handbag yenye pesa kabla vibaka hawajaiwahi na kumrudishia aliyeidondosha kupitia Instagram

Nguvu ya mitandao: Nimeokota handbag yenye pesa kabla vibaka hawajaiwahi na kumrudishia aliyeidondosha kupitia Instagram

wanaangalia na aina ya mtu mkuu.

Mimi mtumishi wa umma, ninapokea mshahara wangu, nina biashara yangu nimeajiri mtu, n.k siwezi kuwa suspected kirahisi namna hio kwamba nianze kukaba watu..
Chukulia kwamba muhusika kauwawa, na wauwaji hawakuchukua chochote, ( waliuacha mkoba na fedha kama ulivyookota). Hii point yako itakusaidia?

Point yako ni sawa kama mlengwa alikabwa akauwawa na wakaondoka na laki tano au milioni alafu wakatupa mkoba na vitambulisho ndo ukaviokota. ( Hata hii pia hatokuwa rahisi kivile kwako).
 
break ya kwanza ningekwenda tigo pesa kumuwekea mtu wa reseni ya udereva.
Break ya pili Samsung Galaxy S7 edge+ Mimi team Samsung.
Alafu narudi kulala
Karma is a bit**.

kilio ambacho angelia, maumvu ambayo angepata, shida ambazo angepitia kwa sababu yako amini usiamini zingekufungia milango kadhaa, malipo ni lazima.

Laiti ingekuwa ni pesa ya bahati ningeitumia kulainisha january
 
Karma is a bit**.

kilio ambacho angelia, maumvu ambayo angepata, shida ambazo angepitia kwa sababu yako amini usiamini zingekufungia milango kadhaa, malipo ni lazima.

Laiti ingekuwa ni pesa ya bahati ningeitumia kulainisha january
Mimi nimetapeliwa zaidi ya milioni 150 za urithi na ndugu.
Tangu 2016 mpaka leo Watu wanadunda.
KARMA NI UJANJA UJANJA
 
wanaangalia na aina ya mtu mkuu.

Mimi mtumishi wa umma, ninapokea mshahara wangu, nina biashara yangu nimeajiri mtu, n.k siwezi kuwa suspected kirahisi namna hio kwamba nianze kukaba watu ?

Ingekuwa sina ajira, sina shughuli maalum, n.k nisingejisumbua huko kote maana naijua vizuri hii system
God bless you brother. Watu wachache sana kama WEWE siku hizi
 
Jihesabu kuwa wewe ni mtu uliyefanikiwa tayari.Mungu akubariki sana.kama maisha yako ya kikazi yapo ya kiuaminifu kiasi hicho ujue kizazi chako chote kimeshatusua.

Hapo wala haikuhitaji kuokotwa na teja wala kibaka.Hiyo angeiokota hata pastor tuu angeweza kunyuti,angesingizia ndiyo anajibiwa yale maombi yake
 
Kuna shemeji yangu aliokota simu 2013 amekaa nayo asubiri atakayepiga smu ampe maelekezo jinsi ya kuipata!! Ilikua asubuhi kufika saa kumi jioni ikapigwa simu akatoa maelekezo waende ofisini kwake smu aliokota asubuhi wkt anaenda kazini!..
Pole yake mkuu.

Muda mwingine wema unaponza sana na tusijifanye wastaarabu kupita kiasi. Nchi yetu hii walio wengi wana ustaarabu wa ukubwani.
 
Hongera mkuu kwa roho yako nzuri Mungu wa Isaka na Yakobo na akutendee wema vilevile.
 
Niliwahi kuokota simat nikaipeleka police mm siwezi kumrudishia mhusika kilahisi hivo unaweza kuambiwa ulete nakichwa chake
 
Back
Top Bottom