mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Nguvu ya jambo lolote katika kuamua, ni uwingi wa waamuzi wenyewe
Na ndiyo maana, kura nyingi, humpa mtu nguvu ya kuwa mshindi na kutawazwa kuwa kiongozi
Tunaona, hata miswaa mingi kwenye mabunge, huamriwa na nguvu ya hoja na kuungwa mkono na watu wengi ndipo inapita, na ikishindikana hivo, huitishwa kura za ki CCM za ndiyo au hapana, na pale sauti ya wengi itakaposikika, jambo hilo huamriwa kwa nguvu ya sauti hiyo
Tukirudi sasa kwa mambo yanayoendelea nchini na yale yaliyoko katika uso wa Tanzania na Watanzania
Tunaelekea kipindi mhimu sana kama nchi, ni mhimu kwa sababu ya tukio lenyewe
Uchaguzi kupata viongozi wazuri, na watakaoipeleka nchi yetu mbele
Wakati tukielekea kipindi hiko, Kama Taifa huru, linavyo vyama vinavyotegemea kuingia kwenye hatua hii mhimu ya uchaguzi
Hata hivyo, yapo mambo ambayo ni madai mhimu sana kwa vyama hususani Chadema chama kikuu cha upinzani
Madai haya na jinsi yanavyoungwa mkono kwa malioni ya Watanzania, ndiyo yanawapa watafiti kuangalia uhalisia sasa wa madai yao na kwamba, Chadema kimekuwa kikidai mara zote kuwa, CCM wamekuwa wakiiba kura ili wao kuendelea kukaa madarakani
Na kwa sababu hiyo, Chadema kimeadhimia, hakitaingia kwenye uchaguzi bila ya madai yake kufanyiwa marekebisho (REFORMS)
Kwa nguvu iliyopo mitandaon, kinaipa nguvu Chadema na kuwaamisha Watanzania kwa ujumla kwamba, ni kweli CCM hutumia janja janja kwenye Uchaguzi mkuu,
Kwa nguvu na uwingi wa wanaounga mkono hoja ya no reforms no election, ni kiashiria cha kweli kabisa, ccm huiba kura
Swala la ccm kuiba kura halina mjadala wowote lipo wazi kabisa na hasa kwenye kuingiza kura bandia kwenye masandukuNguvu ya jambo lolote katika kuamua, ni uwingi wa waamuzi wenyewe
Na ndiyo maana, kura nyingi, humpa mtu nguvu ya kuwa mshindi na kutawazwa kuwa kiongozi
Tunaona, hata miswaa mingi kwenye mabunge, huamriwa na nguvu ya hoja na kuungwa mkono na watu wengi ndipo inapita, na ikishindikana hivo, huitishwa kura za ki CCM za ndiyo au hapana, na pale sauti ya wengi itakaposikika, jambo hilo huamriwa kwa nguvu ya sauti hiyo
Tukirudi sasa kwa mambo yanayoendelea nchini na yale yaliyoko katika uso wa Tanzania na Watanzania
Tunaelekea kipindi mhimu sana kama nchi, ni mhimu kwa sababu ya tukio lenyewe
Uchaguzi kupata viongozi wazuri, na watakaoipeleka nchi yetu mbele
Wakati tukielekea kipindi hiko, Kama Taifa huru, linavyo vyama vinavyotegemea kuingia kwenye hatua hii mhimu ya uchaguzi
Hata hivyo, yapo mambo ambayo ni madai mhimu sana kwa vyama hususani Chadema chama kikuu cha upinzani
Madai haya na jinsi yanavyoungwa mkono kwa malioni ya Watanzania, ndiyo yanawapa watafiti kuangalia uhalisia sasa wa madai yao na kwamba, Chadema kimekuwa kikidai mara zote kuwa, CCM wamekuwa wakiiba kura ili wao kuendelea kukaa madarakani
Na kwa sababu hiyo, Chadema kimeadhimia, hakitaingia kwenye uchaguzi bila ya madai yake kufanyiwa marekebisho (REFORMS)
Kwa nguvu iliyopo mitandaon, kinaipa nguvu Chadema na kuwaamisha Watanzania kwa ujumla kwamba, ni kweli CCM hutumia janja janja kwenye Uchaguzi mkuu,
Kwa nguvu na uwingi wa wanaounga mkono hoja ya no reforms no election, ni kiashiria cha kweli kabisa, ccm huiba kura
Swala la ccm kuiba kura halina mjadala wowote lipo wazi kabisa na hasa kwenye kuingiza kura bandia kwenye masanduku
No reforms no electionOctober TUNATIKI ✅✅✅✅✅
October TUNATIKI ✅✅✅✅✅No reforms no election
No reforms, No electionOctober TUNATIKI
October TUNATIKI
October TUNATIKI
October TUNATIKI
October TUNATIKI
October TUNATIKI
✅✅✅✅✅✅✅✅✅🇹🇿✅🇹🇿
October TUNATIKINo reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election