Nguvu ya no reforms no election na ushindi wake mitandaoni dhidi ya CCM, ni picha halisi ya jinsi CCM huiba kura!

Nguvu ya jambo lolote katika kuamua, ni uwingi wa waamuzi wenyewe

Na ndiyo maana, kura nyingi, humpa mtu nguvu ya kuwa mshindi na kutawazwa kuwa kiongozi

Tunaona, hata miswaada mingi kwenye mabunge, huamriwa na nguvu ya hoja na kuungwa mkono na watu wengi ndipo inapita, na ikishindikana hivo, huitishwa kura za ki CCM za ndiyo au hapana, na pale sauti ya wengi itakaposikika, jambo hilo huamriwa kwa nguvu ya sauti hiyo

Tukirudi sasa kwa mambo yanayoendelea nchini na yale yaliyoko katika uso wa Tanzania na Watanzania

Tunaelekea kipindi mhimu sana kama nchi, ni mhimu kwa sababu ya tukio lenyewe

Uchaguzi kupata viongozi wazuri, na watakaoipeleka nchi yetu mbele

Wakati tukielekea kipindi hiko, Kama Taifa huru, linavyo vyama vinavyotegemea kuingia kwenye hatua hii mhimu ya uchaguzi

Hata hivyo, yapo mambo ambayo ni madai mhimu sana kwa vyama hususani Chadema chama kikuu cha upinzani

Madai haya na jinsi yanavyoungwa mkono kwa mamilioni ya Watanzania, ndiyo yanawapa watafiti kuangalia uhalisia sasa wa madai yao na kwamba, Chadema kimekuwa kikidai mara zote kuwa, CCM wamekuwa wakiiba kura ili wao kuendelea kukaa madarakani

Na kwa sababu hiyo, Chadema kimeadhimia, hakitaingia kwenye uchaguzi bila ya madai yake kufanyiwa marekebisho (REFORMS)

Kwa nguvu iliyopo mitandaon, kinaipa nguvu Chadema na kuwaamisha Watanzania kwa ujumla kwamba, ni kweli CCM hutumia janja janja kwenye chaguzi zote nchini

Kwa nguvu na uwingi wa wanaounga mkono hoja ya no reforms no election, ni kiashiria cha kweli kabisa, ccm huiba kura

Watanzania tuamke, Tanzania inaamriwa na Watanzania na siyo CCM

Kataa kwa nguvu zote mateso ya CCM

No reforms no election!
Kwa kuongezea tu mkuu sio mitandaoni tu pia angalia mikutano yao.
 
Kwa hiyoi!
Bado unajidanganya kwamba hao kwenye daftari wanampenda sana Samia Suluhu Hassan?

Ingekuwa hivyo, nyinyi askari wake watenda uovu msingekuwa mnahangaika kama mnavyofanya sasa.
Hivi humtazami vizuri kuona jinsi alivyo ingiwa na hofu kubwa sana?

Safari hii kutatokea ambayo hayajawahi kutokea katika historia ya nchi hii, na Samia Suluhu Hassan ataingia kwenye historia hiyo chafu kabisa ya taifa letu.

NO REFORM, NO ELECTION.

Samia Suluhu Hassan is Doomed!
Daftari limeshaboreshwa sasa nyinyi endelezeni hizi mbwembwe na ufalme wenu wa humu JF na instagram.
 
Mtachukuwa hayo majina ndani ya daftari na kuzifanya kuwa kura za kumchagua Samia!
Samia kamalizia SGR na karibuni mizigo itakuwa ikitoka bara na kusafirishwa kupitia bandarini.

Samia kafikisha umeme kwenye vijiji zaidi ya 2000 kwa miaka hii minne tangu kifo cha JPM.

Samia kasambaza huduma ya maji karibu Tanzania nzima.

Anasomesha maelfu kwa maelfu ya vijana katika vyuo vikuu vyetu.

Kwa mwenye akili timamu ni kichekesho akikusoma hayo mawazo yako kwamba Samia anahitaji wizi wa kura, aibe kura kwa sababu zipi za msingi ikiwa kaweza kufanikisha mengi tu yaliyoandikwa kwenye ilani ya uchaguzi?.
 
EEEeeenHEEEEeeeee!

Vizuri sana, mkuu 'Steven Joel Ntamsana.

Sina tatizo lolote na haya uliyo andika hapa, ambayo siyo mapya. Nadhani umerudia rudia haya mara kadhaa hadi sasa.
Naona hata wewe unaanza kuhisi kuwa majibu ya aina hii siyo sababu ya Samia kuendelea kuwa kiongozi wa nchi hii.
ni kichekesho akikusoma hayo mawazo yako kwamba Samia anahitaji wizi wa kura, aibe kura kwa sababu zipi za msingi ikiwa kaweza kufanikisha mengi tu yaliyoandikwa kwenye ilani ya uchaguzi?
Ningependa kuamini kwamba wewe unazo njia za karibu zaidi kumfikishia ujumbe; kama huwezi mtumie Hamza Johari, kama siyo wewe mwenyewe...
Mpe ujumbe, kufuatana na maneno katika mstari huo mmoja na nusu hapo juu; akuamini wewe na umshauri akubali kufanya marekebisho kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika; ili waTanzania wakampe kura zao zote za ushindi wake wa HAKI.
Mwambie afanye marekebisho muhimu kidogo tu, ili uchaguzi mkuu huu ufanyike katika mazingira ya wazi, HURU na HAKI.
Hapo hata mimi nitaungana na wewe kumpongeza mama yenu huyu kwa ushindi mkubwa atakaoupata.
Hutanisikia tena nikandika chochote dhidi yake, wala GENGE lenu.
Sawa mkuu 'Stevo'?

NO REFORM, NO ELECTION.
Samia is Doomed!
 
Nguvu ya jambo lolote katika kuamua, ni uwingi wa waamuzi wenyewe

Na ndiyo maana, kura nyingi, humpa mtu nguvu ya kuwa mshindi na kutawazwa kuwa kiongozi

Tunaona, hata miswaada mingi kwenye mabunge, huamriwa na nguvu ya hoja na kuungwa mkono na watu wengi ndipo inapita, na ikishindikana hivo, huitishwa kura za ki CCM za ndiyo au hapana, na pale sauti ya wengi itakaposikika, jambo hilo huamriwa kwa nguvu ya sauti hiyo

Tukirudi sasa kwa mambo yanayoendelea nchini na yale yaliyoko katika uso wa Tanzania na Watanzania

Tunaelekea kipindi mhimu sana kama nchi, ni mhimu kwa sababu ya tukio lenyewe

Uchaguzi kupata viongozi wazuri, na watakaoipeleka nchi yetu mbele

Wakati tukielekea kipindi hiko, Kama Taifa huru, linavyo vyama vinavyotegemea kuingia kwenye hatua hii mhimu ya uchaguzi

Hata hivyo, yapo mambo ambayo ni madai mhimu sana kwa vyama hususani Chadema chama kikuu cha upinzani

Madai haya na jinsi yanavyoungwa mkono kwa mamilioni ya Watanzania, ndiyo yanawapa watafiti kuangalia uhalisia sasa wa madai yao na kwamba, Chadema kimekuwa kikidai mara zote kuwa, CCM wamekuwa wakiiba kura ili wao kuendelea kukaa madarakani

Na kwa sababu hiyo, Chadema kimeadhimia, hakitaingia kwenye uchaguzi bila ya madai yake kufanyiwa marekebisho (REFORMS)

Kwa nguvu iliyopo mitandaon, kinaipa nguvu Chadema na kuwaamisha Watanzania kwa ujumla kwamba, ni kweli CCM hutumia janja janja kwenye chaguzi zote nchini

Kwa nguvu na uwingi wa wanaounga mkono hoja ya no reforms no election, ni kiashiria cha kweli kabisa, ccm huiba kura

Watanzania tuamke, Tanzania inaamriwa na Watanzania na siyo CCM

Kataa kwa nguvu zote mateso ya CCM

No reforms no election!
Jana walikuja na tunatiki kampeni iliyofeli kabla yakuanza wasichokijua wao wanapush kwa kulipana halafu No reform No Election haina bei wazalendo wanapush bila malipo wala kununuliwa bando hata kwa wapiga kura ndio inavuokua hivi
 
Attachments

  • Screenshot_20250608_092908_Chrome.jpg
    Screenshot_20250608_092908_Chrome.jpg
    417.6 KB · Views: 10
Hiyo CCM unayoiota wewe haitakuwepo tena kuitumia kizembe namna hiyo. Mtabaki Genge lililoachwa wazi kila mtu awajue wahusika wa uovu huu ni akina nani.
Huo uovu ni sehemu ndogo ya mengi mazuri yanayofanywa na yaliyokwisha kufanywa katika utimizaji wa ilani za uchaguzi.
 
Sijui kwa nini sasa naanza kufurahia michango yako humu JF!

Bila shaka taifa letu linaelekea kwenye ukombozi mpya.

NO REFORM, NO ELECTION.
Samia is Doomed.
Samia anasubiri tiki tu aanze ngwe nyingine yenye neema kwa Tanzania.
 
Nguvu ya jambo lolote katika kuamua, ni uwingi wa waamuzi wenyewe

Na ndiyo maana, kura nyingi, humpa mtu nguvu ya kuwa mshindi na kutawazwa kuwa kiongozi

Tunaona, hata miswaada mingi kwenye mabunge, huamriwa na nguvu ya hoja na kuungwa mkono na watu wengi ndipo inapita, na ikishindikana hivo, huitishwa kura za ki CCM za ndiyo au hapana, na pale sauti ya wengi itakaposikika, jambo hilo huamriwa kwa nguvu ya sauti hiyo

Tukirudi sasa kwa mambo yanayoendelea nchini na yale yaliyoko katika uso wa Tanzania na Watanzania

Tunaelekea kipindi mhimu sana kama nchi, ni mhimu kwa sababu ya tukio lenyewe

Uchaguzi kupata viongozi wazuri, na watakaoipeleka nchi yetu mbele

Wakati tukielekea kipindi hiko, Kama Taifa huru, linavyo vyama vinavyotegemea kuingia kwenye hatua hii mhimu ya uchaguzi

Hata hivyo, yapo mambo ambayo ni madai mhimu sana kwa vyama hususani Chadema chama kikuu cha upinzani

Madai haya na jinsi yanavyoungwa mkono kwa mamilioni ya Watanzania, ndiyo yanawapa watafiti kuangalia uhalisia sasa wa madai yao na kwamba, Chadema kimekuwa kikidai mara zote kuwa, CCM wamekuwa wakiiba kura ili wao kuendelea kukaa madarakani

Na kwa sababu hiyo, Chadema kimeadhimia, hakitaingia kwenye uchaguzi bila ya madai yake kufanyiwa marekebisho (REFORMS)

Kwa nguvu iliyopo mitandaon, kinaipa nguvu Chadema na kuwaamisha Watanzania kwa ujumla kwamba, ni kweli CCM hutumia janja janja kwenye chaguzi zote nchini

Kwa nguvu na uwingi wa wanaounga mkono hoja ya no reforms no election, ni kiashiria cha kweli kabisa, ccm huiba kura

Watanzania tuamke, Tanzania inaamriwa na Watanzania na siyo CCM

Kataa kwa nguvu zote mateso ya CCM

No reforms no election!
#No reforms -No election#
#Free Tundu Lissu#
 
Nenda
Huo uovu ni sehemu ndogo ya mengi mazuri yanayofanywa na yaliyokwisha kufanywa katika utimizaji wa ilani za uchaguzi.
Hebu jaribu kuwaeleza wenzio hapo wakuteke, upitie katika hali ambayo mnawapitisha hao watu katika kuwateka, halafu uje utueleze udogo wa hiyo sehemu.
Watu wanapoteza uhai, halafu wewe unakuja hapa kudai ni "sehemu ndogo"?

Na hii damu mnayojiandaa kuimwaga wakati mkimrudisha madarakani Samia; nayo itaendelea kuwa sehemu ndogo?

Raslimali za nchi hii mnazowagawia wajomba zenu; kama ile Gesi ya Ntorya, Mtwara, mliyowagawia wa Oman na mengi mengine ya hovyo kabisa; kwenu bado hayo yote ni "sehemu ndogo"?
 
Samia anasubiri tiki tu aanze ngwe nyingine yenye neema kwa Tanzania.
Hata kwa miujiza ya majini, hili likitokea tena ndani ya nchi hii, Mungu atakuwa ametutupa mkono kiajabu sana. Taifa hili halina sababu hata moja ya kumfanya Mungu alipitishe katika laana ya aina hiyo.
 
Back
Top Bottom