Labda tikiti majiOctober TUNATIKI ✅✅✅✅✅
Labda tikiti majiOctober TUNATIKI ✅✅✅✅✅
Huyo mahindi hana Akili, kwanza yuko peke yake tu kuandika ujinga uleLabda tikiti maji
Laana mnayo nyinyi wanaharakati mnaoibuka mwaka wa uchaguzi na kuongea vitu ambavyo hamna uhakika navyo.Hata kwa miujiza ya majini, hili likitokea tena ndani ya nchi hii, Mungu atakuwa ametutupa mkono kiajabu sana. Taifa hili halina sababu hata moja ya kumfanya Mungu alipitishe katika laana ya aina hiyo.
No reforms no electionNguvu ya jambo lolote katika kuamua, ni uwingi wa waamuzi wenyewe
Na ndiyo maana, kura nyingi, humpa mtu nguvu ya kuwa mshindi na kutawazwa kuwa kiongozi
Tunaona, hata miswaada mingi kwenye mabunge, huamriwa na nguvu ya hoja na kuungwa mkono na watu wengi ndipo inapita, na ikishindikana hivo, huitishwa kura za ki CCM za ndiyo au hapana, na pale sauti ya wengi itakaposikika, jambo hilo huamriwa kwa nguvu ya sauti hiyo
Tukirudi sasa kwa mambo yanayoendelea nchini na yale yaliyoko katika uso wa Tanzania na Watanzania
Tunaelekea kipindi mhimu sana kama nchi, ni mhimu kwa sababu ya tukio lenyewe
Uchaguzi kupata viongozi wazuri, na watakaoipeleka nchi yetu mbele
Wakati tukielekea kipindi hiko, Kama Taifa huru, linavyo vyama vinavyotegemea kuingia kwenye hatua hii mhimu ya uchaguzi
Hata hivyo, yapo mambo ambayo ni madai mhimu sana kwa vyama hususani Chadema chama kikuu cha upinzani
Madai haya na jinsi yanavyoungwa mkono kwa mamilioni ya Watanzania, ndiyo yanawapa watafiti kuangalia uhalisia sasa wa madai yao na kwamba, Chadema kimekuwa kikidai mara zote kuwa, CCM wamekuwa wakiiba kura ili wao kuendelea kukaa madarakani
Na kwa sababu hiyo, Chadema kimeadhimia, hakitaingia kwenye uchaguzi bila ya madai yake kufanyiwa marekebisho (REFORMS)
Kwa nguvu iliyopo mitandaon, kinaipa nguvu Chadema na kuwaamisha Watanzania kwa ujumla kwamba, ni kweli CCM hutumia janja janja kwenye chaguzi zote nchini
Kwa nguvu na uwingi wa wanaounga mkono hoja ya no reforms no election, ni kiashiria cha kweli kabisa, ccm huiba kura
Watanzania tuamke, Tanzania inaamriwa na Watanzania na siyo CCM
Kataa kwa nguvu zote mateso ya CCM
No reforms no election!
Utekaji upo kabla hata Samia hajaingia ikulu, upo tangu awamu ya Nyerere na Mkapa. Ni suala linalotisha lakini halina uhusiano wa moja kwa moja na siasa za nchi, zipo sababu nyingi za watu kuuana na kutekana.Nenda
Hebu jaribu kuwaeleza wenzio hapo wakuteke, upitie katika hali ambayo mnawapitisha hao watu katika kuwateka, halafu uje utueleze udogo wa hiyo sehemu.
Watu wanapoteza uhai, halafu wewe unakuja hapa kudai ni "sehemu ndogo"?
Na hii damu mnayojiandaa kuimwaga wakati mkimrudisha madarakani Samia; nayo itaendelea kuwa sehemu ndogo?
Raslimali za nchi hii mnazowagawia wajomba zenu; kama ile Gesi ya Ntorya, Mtwara, mliyowagawia wa Oman na mengi mengine ya hovyo kabisa; kwenu bado hayo yote ni "sehemu ndogo"?
Haiwezi kuingia ikulu kwa hizi mbwembwe za humu JF na hao wanaojaa kwenye mikutano, asilimia 90 hao siku ya uchaguzi wanashinda majumbani mwao wakifuatilia habari utadhani sio wao walioshiriki amsha amsha wakati wa kampeni.Kwa yale yaloyotokea jana Dodoma, ni kiashiria kingine cha CCM kuchokwa mno na haitakiwi
Tafadhari, mizani iwekwe sawa, asubuhi na mapema Chadema itaingia Ikulu
Sorry umesema watu milion 5 tu ndio wako mtandaoni? Mbona taarifa aliyotoa mhe wazir jerry slaa kuhusu idadi hiyo inakupinga?Kutegemea mitandao kushinda uchaguzi kwenye taifa lililo na watu zaidi ya milioni sitini na watu wasiozidi milioni tano mtandaoni ni ndoto za alinacha.
Wapo sana mtandaoni, kwa taarifa ya matumizi ya mtandao kwa idadi ya sasa wengi sana wamoHaiwezi kuingia ikulu kwa hizi mbwembwe za humu JF na hao wanaojaa kwenye mikutano, asilimia 90 hao siku ya uchaguzi wanashinda majumbani mwao wakifuatilia habari utadhani sio wao walioshiriki amsha amsha wakati wa kampeni.
Wapiga kura wa CCM wapo milioni 13.5 na huwezi kuwaona humu mitandaoni wanazo shughuli za kufanya, siku ya kupiga kura wanamaliza kazi mapema sana.
Sio kweli, hizi kelele zipo kwenye miji michache sana. Wapiga kura halisi sio hawa wanaoendekeza utoto humu JF na kule instagram.Sorry umesema watu milion 5 tu ndio wako mtandaoni? Mbona taarifa aliyotoa mhe wazir jerry slaa kuhusu idadi hiyo inakupinga?
Idadi ni kubwa almost nusu ya population iko mtandaoni
Hizi n8 njama zilezile za wizi wenu wa kuraHaiwezi kuingia ikulu kwa hizi mbwembwe za humu JF na hao wanaojaa kwenye mikutano, asilimia 90 hao siku ya uchaguzi wanashinda majumbani mwao wakifuatilia habari utadhani sio wao walioshiriki amsha amsha wakati wa kampeni.
Wapiga kura wa CCM wapo milioni 13.5 na huwezi kuwaona humu mitandaoni wanazo shughuli za kufanya, siku ya kupiga kura wanamaliza kazi mapema sana.
Kura ni siri ya mtu na sanduku linalokuwa mbele yake. Usidanganyike na kampeni hata siku moja.Hizi n8 njama zilezile za wizi wenu wa kura
Unamaanisha, wale wanajaa mikutano ya ccm ndio wapiga kura na wengine wote wanao kwenda mikutano ya upinzani si wapiga kura?
stupid
Sio kweli based on what kaka?Sio kweli, hizi kelele zipo kwenye miji michache sana. Wapiga kura halisi sio hawa wanaoendekeza utoto humu JF na kule instagram.
Uzoefu wa siasa niliona ni mkubwa, miaka 30 nipo kwenye haya masuala ninayajua vilivyo.Sio kweli based on what kaka?
Unajua asilimia ngapi ya vijana wako online kwa sasa?
Hizo kelele si miji michache, ni vile cdm haina budget ya kumfikia kila mtu ila so far likija suala la social media wamekuja tofauti sana
Hii pointi ni kama mtu unaakili mingi sanaKura ni siri ya mtu na sanduku linalokuwa mbele yake.
Wewe unajua unaongea na mtu wa miaka mingapi?Uzoefu wa siasa niliona ni mkubwa, miaka 30 nipo kwenye haya masuala ninayajua vilivyo.
Hizi harshtags zisikudanganye, unapokuja uchaguzi halisia hutamuona hata mmoja katika haws wanaoshinda wakiandika hizi slogans.
Kura ni siri, CCM inajua namna ya kuzitafuta kura. Miaka minne inayokuwa katikati ya uchaguzi mmoja na mwingine wabunge wao wanakuwa kazini karibu na wananchi na hao ndio wapiga kura.Hii pointi ni kama mtu unaakili mingi sana
Ila sasa unapo sema wanaojaa mikutano ya wapinzani si wapiga kura ukiwa na maana ya wanaojaa mikutano yenu tu ndio wapiga kura, unaonekana ni bonge la mccm mjinga mno
No reforms no election
Ungekuwa na umri mkubwa usingejazwa ujinga na hizi slogans zinazoendelea kuandikwa.Wewe unajua unaongea na mtu wa miaka mingapi?
Mimi nimekuwa ccm kabla hata ya wazazi wako mkuu