Nguvu ya no reforms no election na ushindi wake mitandaoni dhidi ya CCM, ni picha halisi ya jinsi CCM huiba kura!

Nguvu ya no reforms no election na ushindi wake mitandaoni dhidi ya CCM, ni picha halisi ya jinsi CCM huiba kura!

Uzoefu wa siasa niliona ni mkubwa, miaka 30 nipo kwenye haya masuala ninayajua vilivyo.

Hizi harshtags zisikudanganye, unapokuja uchaguzi halisia hutamuona hata mmoja katika haws wanaoshinda wakiandika hizi slogans.
Uzoefu wako wa kisiasa not equivalent to matokeo.
Mambo yamebadilika na vizazi vinabadilika, waliozaliwa 1960s mpaka 90s ndio ulikuwa mtaji mkubwa wa ccm, kwa hizi enzi za digitali mambo ni tofauti
2011, misri,tahrir square kulitokea mapinduz makubwa
Player mkubwa behind the scene ni social media, imekuwaje? Je lingewezekana kwa vizaz vya zamani? Sidhan

Now sisemi hashtag zitapeta kura, ila ni moja ya vyombo vinavyoweza ku mobilize kizaz cha sasa ni social media
 
Waarabu wa tahrir square na watanzania ni watu wa aina mbili tofauti.

Mnaongozwa na chuki za kijinga dhidi ya uislam wa Samia lakini bahati nzuri mpo wachache sana na mwanzo pamoja na mwisho wenu ni humu humu mitandaoni.
 
Naona umehamia kwenye udini, punguza hisia, hakuna mahali nimetaja uislam. Or kushambulia dini

Wala hii mada si ya dini, ni mada inayozungumzia yanaondelea
Tunazungumzia facts hapa

Yes waarabu ni tofauti na watanzania, nitakupa pia mfano mwingine, bangladesh, social media ilitumika sana ku mobilize vijana hatimae wakapindua na serikal yenyewe

Yes kila jamii ni tofauti lakini, vyote huwa viko related by common interest , unequal treatment na serikal zao.

Huwa haiji siku moja, ni progressive, baada ina reach peak.
 
Mnaopiga makelele licha ya kutumia nguvu ya chuki ya dini ya mheshimiwa, mpo wachache sana hamzidi watu milioni mbili.

CCM wanao wanachama milioni 13.5 kwa takwimu za 2020 sijaongelea takwimu za muda huu. Pia kumbukeni kuwa daftari la wapiga kura limeshaboreshwa tangu mwezi March mwaka huu, mnapoteza muda.

Tatizo la ujana wenu ni kushindwa kuwa na busara za kupanga mipango yenye kutazama mbali.
 
Sijui ni sisi watu weusi
Sijui ni sisi Waafrika
Sijui ni sisi Watanzania
...inaendelea kufikiri juu ya hili.
Kwamba kila mtu anatafuta mawazo ili ayafanyie kazi mapema zaidi kabla muda wake wa kuishi haujapotea, sisi tunapewa mawazo sahihi kabisa na ushahidi badala ya kutekeleza tunaendeleza upuuzi!
Kifupi sisi sio wajinga bali ni wapumbavu. Mtaona kama miezi miwili ijayo kwa machawa walewale ambao watawaachwa kura za maoni ndio ataanza kulilia haki na ukweli wanazozibea sasa.
Wanachoshindwa kuelewa ni kwamba NENR is really na mfano wake ni kuwa 2019, 2020 na 2024 hakukuwahi kuwa na uchaguzi japo wasioelewa hawaelewi hilo. Same to 2025, bile reforms hakutakuwa na uchaguzi.
 
Mnaopiga makelele licha ya kutumia nguvu ya chuki ya dini ya mheshimiwa, mpo wachache sana hamzidi watu milioni mbili.

CCM wanao wanachama milioni 13.5 kwa takwimu za 2020 sijaongelea takwimu za muda huu. Pia kumbukeni kuwa daftari la wapiga kura limeshaboreshwa tangu mwezi March mwaka huu, mnapoteza muda.

Tatizo la ujana wenu ni kushindwa kuwa na busara za kupanga mipango yenye kutazama mbali.
Kwa hiyo umetoka kwenye facts na hoja umeanza kunijumuisha kwenye makundi? 😂
Na ngonjera za vyama juu?

Kaka you are better than that

Dont go low like that
 
Kwa hiyo umetoka kwenye facts na hoja umeanza kunijumuisha kwenye makundi? 😂
Na ngonjera za vyama juu?

Kaka you are better than that

Dont go low like that
October 2025 kapigeni kura hii mihemko haiwezi kupatiwa utatuzi kwa hizi slogans za JF na instagram.
 
Laana mnayo nyinyi wanaharakati mnaoibuka mwaka wa uchaguzi na kuongea vitu ambavyo hamna uhakika navyo.

Kila mradi alioucha JPM muda huu kama haumaliziki upo katika hatua za mwishoni, Nyinyi ni mashujaa wa nyuma ya keyboard bendera hufuata upepo.

Mapambano yenu yanaanza na kuishia kwenye laptop na simu zenu.
Utarudiarudia haya mara ngapi. Kumbuka, kamba inazidi kukaza!
 
October 2025 kapigeni kura hii mihemko haiwezi kupatiwa utatuzi kwa hizi slogans za JF na instagram.
Hiyo kura unayohimiza wewe; hata kwenye mazingira ovu yaliyopo, nayo imeanza kuwa tete kwenu. Samia hata kwenye hali hii, bila ya marekebisho ya taratibu; kuiba kura na kulazimisha kubaki madarakani sasa kunaanza kufifia.
 
Utekaji upo kabla hata Samia hajaingia ikulu, upo tangu awamu ya Nyerere na Mkapa. Ni suala linalotisha lakini halina uhusiano wa moja kwa moja na siasa za nchi, zipo sababu nyingi za watu kuuana na kutekana.

Huna ushahidi wa rasilimali za nchi kugawiwa kwa watu wachache, msingi wa maneno hayo ni chuki dhidi ya uislam na jinsia ya Samia, hakuna ukweli wowote kwenye huo upuuzi.

Hakuna mtu anayegawa rasilimali bure, makampuni makubwa yanashinda tender kwa uwezo wa ufanisi yanayokuwa nayo sio kwa vigezo vya kipuuzi vya asili yao.

DP World alishinda tender bandarini kwa ukubwa wa kampuni yao na kwa maslahi mapana ya kibiashara ya ukanda huu mzima, haya kuyaelewa mpaka uwe na upeo mpana na usiwe mmoja wa wale wanaochagua upande wa chuki za kijinga za mitandaoni.

Aje mwarabu kufanya biashara kwenye eneo ambalo sisi hatuna utaalam nalo au tuendelee kubakia na umaskini ule ule?.

Samia asingetafuta uwekezaji bado sisi wapiga kelele tungeendelea kulalamika kwamba hajafanya lolote, wenye upeo mdogo kama nyinyi mnasomwa mitandaoni na mnapuuzwa tu.
Unarudia yale yale, toka uingie JF!
Hilo halitamsalimisha Samia Suluhu Hassan, mtawala ambaye hana uwezo wa uongozi wa nchi.

Alichoweza kufanya ni kuruhusu GENGE lenu kukiteka chama cha CCM na kukitumia kufanya kila aina ya uchafu ndani ya nchi hii.
Sasa waTanzania wanasema, INATOSHA.
 
Nguvu ya jambo lolote katika kuamua, ni uwingi wa waamuzi wenyewe

Na ndiyo maana, kura nyingi, humpa mtu nguvu ya kuwa mshindi na kutawazwa kuwa kiongozi

Tunaona, hata miswaada mingi kwenye mabunge, huamriwa na nguvu ya hoja na kuungwa mkono na watu wengi ndipo inapita, na ikishindikana hivo, huitishwa kura za ki CCM za ndiyo au hapana, na pale sauti ya wengi itakaposikika, jambo hilo huamriwa kwa nguvu ya sauti hiyo

Tukirudi sasa kwa mambo yanayoendelea nchini na yale yaliyoko katika uso wa Tanzania na Watanzania

Tunaelekea kipindi mhimu sana kama nchi, ni mhimu kwa sababu ya tukio lenyewe

Uchaguzi kupata viongozi wazuri, na watakaoipeleka nchi yetu mbele

Wakati tukielekea kipindi hiko, Kama Taifa huru, linavyo vyama vinavyotegemea kuingia kwenye hatua hii mhimu ya uchaguzi

Hata hivyo, yapo mambo ambayo ni madai mhimu sana kwa vyama hususani Chadema chama kikuu cha upinzani

Madai haya na jinsi yanavyoungwa mkono kwa mamilioni ya Watanzania, ndiyo yanawapa watafiti kuangalia uhalisia sasa wa madai yao na kwamba, Chadema kimekuwa kikidai mara zote kuwa, CCM wamekuwa wakiiba kura ili wao kuendelea kukaa madarakani

Na kwa sababu hiyo, Chadema kimeadhimia, hakitaingia kwenye uchaguzi bila ya madai yake kufanyiwa marekebisho (REFORMS)

Kwa nguvu iliyopo mitandaon, kinaipa nguvu Chadema na kuwaamisha Watanzania kwa ujumla kwamba, ni kweli CCM hutumia janja janja kwenye chaguzi zote nchini

Kwa nguvu na uwingi wa wanaounga mkono hoja ya no reforms no election, ni kiashiria cha kweli kabisa, ccm huiba kura

Watanzania tuamke, Tanzania inaamriwa na Watanzania na siyo CCM

Kataa kwa nguvu zote mateso ya CCM

No reforms no election!
NRNE
 
Unarudia yale yale, toka uingie JF!
Hilo halitamsalimisha Samia Suluhu Hassan, mtawala ambaye hana uwezo wa uongozi wa nchi.

Alichoweza kufanya ni kuruhusu GENGE lenu kukiteka chama cha CCM na kukitumia kufanya kila aina ya uchafu ndani ya nchi hii.
Sasa waTanzania wanasema, INATOSHA.
Asingekuwa na uwezo asingeweza kumalizia miradi karibu yote aliyoachiwa na JPM.

Kawaumbua wapiga kelele wa JF na instagram, pia kaweza kuja na miradi yake mipya.
 
Hiyo kura unayohimiza wewe; hata kwenye mazingira ovu yaliyopo, nayo imeanza kuwa tete kwenu. Samia hata kwenye hali hii, bila ya marekebisho ya taratibu; kuiba kura na kulazimisha kubaki madarakani sasa kunaanza kufifia.
Aibe kura kwa sababu zipi wakati kaweza kutimiza kilichoandikwa kwenye ilani ya 2020?.

Samia atawashangaza mashujaa wa nyuma ya keyboard kina Kalamu, ikifika October 2025.
 
Aibe kura kwa sababu zipi wakati kaweza kutimiza kilichoandikwa kwenye ilani ya 2020?.

Samia atawashangaza mashujaa wa nyuma ya keyboard kina Kalamu, ikifika October 2025.
Kilichobaki kwa Samia kuwashangaza waTanzania, ni kung'ang'ania kubaki madarakani baada ya waTanzania kumkataa!
Hili litamsababishia matatizo makubwa kama yaliyompata yule mama wa Bangladesh miezi kadhaa ilyopita.
Samia anajiandalia njia ileile iliyomkumba mama Sheikh.
 
Kamba inawakazia nyinyi wapiga kelele wa mitandaoni.
Acha tuwe wapiga kelele; kwani tunajuwa kelele zinawasumbua sana toka mlipoingia kwenye utawala.

Kelele hizo hizo zimewafikisha hapa mlipofikia sasa, licha ya kufanya ulaghai mwingi na kuonyesha kila aina ya hadaa.

Sasa saa yenu imewadia. Hakuna njia tena ya kujinusuru.
 
Kilichobaki kwa Samia kuwashangaza waTanzania, ni kung'ang'ania kubaki madarakani baada ya waTanzania kumkataa!
Hili litamsababishia matatizo makubwa kama yaliyompata yule mama wa Bangladesh miezi kadhaa ilyopita.
Samia anajiandalia njia ileile iliyomkumba mama Sheikh.
Hakuna mwananchi anayetumia SGR muda huu anaweza kumkataa Samia.

Hakuna mwananchi anayetumia ndege za ATCL muda huu anayeweza kumkataa.

Hakuna mwananchi anayetumia zahanati za mikoani zinazoendelea kujengwa mwenye kuweza kumkataa.

Hakuna mwananchi mwenye kupata ajira kwenye viwanda vinavyojengwa muda huu mwenye uwezo wa kumkataa.

Hakuna mfanyabiashara anayenufaika na wepesi wa kusafirisha mizigo kwa kutumia bandari baada ya DP World kuanza kazi mwenye kuweza kumkataa SSH.

Wanaoweza kusema wanamkataa ni vijana wa mitandaoni ambao hawazidi milioni mbili kwa ujumla wao, mwanaharakati Kalamu akiwa mmoja wao.
 
Acha tuwe wapiga kelele; kwani tunajuwa kelele zinawasumbua sana toka mlipoingia kwenye utawala.

Kelele hizo hizo zimewafikisha hapa mlipofikia sasa, licha ya kufanya ulaghai mwingi na kuonyesha kila aina ya hadaa.

Sasa saa yenu imewadia. Hakuna njia tena ya kujinusuru.
Utaumia sana mkuu Kalamu Samia akiendelea kuwa Rais wa TZ baada ya 2025, pole nakupa mapema kabisa.
 
Back
Top Bottom