Nguvu ya no reforms no election na ushindi wake mitandaoni dhidi ya CCM, ni picha halisi ya jinsi CCM huiba kura!

Unachotakiwa kujua ni kuwa wapiga kura wengi hawako mitandaoni, na pia wapiga kura wengi hawawazi mengi kama wewe unayowaza. Pia wengi wa mtandaoni hawajajiandikisha
Hawezi kuujua huo ukweli uliouandika, wengi wao ni vijana wadogo wanadanganywa na hizi harakati za mitandaoni. Uzoefu wao wa kwenye siasa za Tanzania ni mdogo.
 
Uchaguzi upo October 2025, wewe endelea kupoteza muda kwa kujifanya mzalendo wa nyuma ya keyboard.

Samia anaonyesha uzalendo kwa vitendo na kazi yake kila sehemu ambako ilani ya CCM inatekelezwa kwa vitendo watampigia kura ya kukubali kile anachokifanya muda huu.
"Nalifanyia Kazi" (Samia).

Mbuzi kama wewe unayetegemea makombo kukuwezesha kuishi unaposikia taarifa kama hiyo unafikiria tumbo lako tu na wala huna habari yoyote na ufanisi wa Tanzania.
Nilisha kudharau muda kitambo sana!
 
Okay hongera mbuzi mwenzangu, uliyeamua kuishi na maumivu ya kile kinachotekelezwa kwa vitendo na Rais SSH.

Mbuzi mwenzangu ikifika Oktoba kapige kura popote ulipo.
 
Hawezi kuujua huo ukweli uliouandika, wengi wao ni vijana wadogo wanadanganywa na hizi harakati za mitandaoni. Uzoefu wao wa kwenye siasa za Tanzania ni mdogo.
Hao waTanzania wanaojitokeza kwenye mikutano ya CHADEMA nao ni watu wa mtandaoani?

Kwa nini Samia anaogopa hawa watu wakienda kupiga kura kwa uhuru wao na kutumia HAKI yao kumchagua aendelee kutawala nchi hii?
Hili huwezi kulijibu.
 
Mkuu hao CHADEMA wamepigwa stop kesi ipo mahakamani. Kesi ikimalizika wanaendelea na siasa kama kawaida.

Hao wasikusumbue kichwa, ni masuala yale yale ya nyomi zilizojaa mwaka 2015 wakati wa mikutano ya Lowassa.
 
Okay hongera mbuzi mwenzangu, uliyeamua kuishi na maumivu ya kile kinachotekelezwa kwa vitendo na Rais SSH.

Mbuzi mwenzangu ikifika Oktoba kapige kura popote ulipo.
Wewe ni MAITI tu; unayekuja hapa kupotezea watu muda wao.
Mwenzako Tlaatlaah kabaki kama maiti lililokaushwa tu la maonyesho. Na wewe sasa upo kwenye tanuru ukauke na kuendelea kubandika takataka tu humu JF.
 
Mkuu hao CHADEMA wamepigwa stop kesi ipo mahakamani. Kesi ikimalizika wanaendelea na siasa kama kawaida.

Hao wasikusumbue kichwa, ni masuala yale yale ya nyomi zilizojaa mwaka 2015 wakati wa mikutano ya Lowassa.
Hiyo "stop" unadhani ndiyo salama ya Samia?
Huyo mwamnamke kafanya makosa makubwa kuwa na maiti wa aina yako karibu naye. Mmempoteza na hataishi tena maisha ya amani.
 
Mpuuzi wewe ndio mlichobakia nacho hicho, dua za kuku hazimpati mwewe.
 
Wewe ni MAITI tu; unayekuja hapa kupotezea watu muda wao.
Mwenzako Tlaatlaah kabaki kama maiti lililokaushwa tu la maonyesho. Na wewe sasa upo kwenye tanuru ukauke na kuendelea kubandika takataka tu humu JF.
October tunatiki tu jina la Samia.
 
ccm tunawasubr na wao waje kwenye kampeni tuwatolee uvivu mabwege hao
 
Back
Top Bottom