Ulishasema haya mara hamsini kama hukumbuki.Utaumia sana mkuu Kalamu Samia akiendelea kuwa Rais wa TZ baada ya 2025, pole nakupa mapema kabisa.
Ulishasema haya mara hamsini kama hukumbuki.Utaumia sana mkuu Kalamu Samia akiendelea kuwa Rais wa TZ baada ya 2025, pole nakupa mapema kabisa.
Hakuna mwananchi mwenye akili timamu anayefurahia kuandaliwa kuwa mtwana nchini kwake mwenyewe.Hakuna mwananchi anayetumia SGR muda huu anaweza kumkataa Samia.
Hakuna mwananchi anayetumia ndege za ATCL muda huu anayeweza kumkataa.
Hakuna mwananchi anayetumia zahanati za mikoani zinazoendelea kujengwa mwenye kuweza kumkataa.
Hakuna mwananchi mwenye kupata ajira kwenye viwanda vinavyojengwa muda huu mwenye uwezo wa kumkataa.
Hakuna mfanyabiashara anayenufaika na wepesi wa kusafirisha mizigo kwa kutumia bandari baada ya DP World kuanza kazi mwenye kuweza kumkataa SSH.
Wanaoweza kusema wanamkataa ni vijana wa mitandaoni ambao hawazidi milioni mbili kwa ujumla wao, mwanaharakati Kalamu akiwa mmoja wao.
Walio doomed ni wale wasioelewa ukweli kwamba hakuna mwanasiasa anayemuandaa raia anayempigia kura awe mtwana kwenye nchi yake.Hakuna mwananchi mwenye akili timamu anayefurahia kuandaliwa kuwa mtwana nchini kwake mwenyewe.
Nilisha kueleza haya mara kumi, lakini unafikiri uchafu unaorudia rudia humu utanibadilisha msimamo?
Samia Suluhu Hassan is Doomed.
NO REFORM, NO ELECTION.
Ukiwa ccm tu tayar unakuwa na matatizo kichwaniOctober TUNATIKI
October TUNATIKI
October TUNATIKI
October TUNATIKI
October TUNATIKI
October TUNATIKI
October TUNATIKI
October TUNATIKI
October TUNATIKI
October TUNATIKI
October TUNATIKI
October TUNATIKI
✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅
October TUNATIKI ✅✅✅✅✅Ukiwa ccm tu tayar unakuwa na matatizo kichwani
Mtiki wenyewe. Na hata mkiwa wenyewe bado mtaiba kura ili ionekane wengi wamepiga kura. Chizi huwa haponiOctober TUNATIKI ✅✅✅✅✅
Mtu bwege tu kama wewe ndiye asiyetambua kuwa ni mtwana kwa kulishwa tu makombo yaliyoachwa na mabwana zako. Uduni wako wa akili haukuwezishi kujuwa kwamba vitu vinavyojengwa kama hiyo miundo mbinu ni pesa za wananchi zinazofanya kazi hiyo; kwa hiyo unabaki unaimbaimba tu "miundo mbinu, miundo mbinu" bila kujuwa hiloWalio doomed ni wale wasioelewa ukweli kwamba hakuna mwanasiasa anayemuandaa raia anayempigia kura awe mtwana kwenye nchi yake.
Kwa mwenye uelewa mpana anafahamu kuwa miundo mbinu inatumia gharama katika kuwekwa lakini lengo ni kumrahisishia mwananchi kufaidika na rasilimali zilizo nchi mwake.
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURAOctober TUNATIKI
October TUNATIKI
October TUNATIKI
October TUNATIKI
October TUNATIKI
October TUNATIKI
✅✅✅✅✅✅✅✅✅🇹🇿✅🇹🇿
Wewe mpuuzi tu, huna unalolijua zaidi ya chuki kwa serikali ya SSH. Oktoba nenda kapige kura kwa Samia, achana na hizi kelele za kitoto unazojaza humu jukwaani.Mtu bwege tu kama wewe ndiye asiyetambua kuwa ni mtwana kwa kulishwa tu makombo yaliyoachwa na mabwana zako. Uduni wako wa akili haukuwezishi kujuwa kwamba vitu vinavyojengwa kama hiyo miundo mbinu ni pesa za wananchi zinazofanya kazi hiyo; kwa hiyo unabaki unaimbaimba tu "miundo mbinu, miundo mbinu" bila kujuwa hilo
Na kwa vile huna akili ya kutosha huwezi kujuwa kwamba hata uwezo wa ujenzi na uendeshaji wa miundo mbinu hiyo inalazimu kuwapa mabwana zenu kuijenga na kuiendesha; kwa sababu akili zenu zimejikita katika hali ya utwana mtupu.
Hamamini kuwa sisi wenyewe tunao uwezo mkubwa wa kufanya yote hayo kwa ufanisi mkubwa.
Samia Suluhu Hassan na GENGE lake are Doomed.
haya yote nilisha kwambia karibu mara tano huko nyuma.Wewe mpuuzi tu, huna unalolijua zaidi ya chuki kwa serikali ya SSH. Oktoba nenda kapige kura kwa Samia, achana na hizi kelele za kitoto unazojaza humu jukwaani.
Halafu mkitekwa mnaanza kulialia,OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
No reform no election.
Mimi na wewe tukipiga soga humu JF, huko mikoani ahadi zake zinaendelea kutimizwa.haya yote nilisha kwambia karibu mara tano huko nyuma.
Kama ni "CHUKI" kwa Samia; hilo usiwe na shaka nalo. namchukia kwa sababu ya kulihujumu taifa letu, uongozi wake mbaya; haya yote nilisha kueleza siku nyingi, lakini unarudia rudia tuuu hayo hayo.
Kwani wewe shida yako ni nini, kwenda kumwambia tu pawepo na MAREKEBISHO kabla ya uchaguzi mkuu, ili kila mTanzania mwenye sifa za kupiga kura, akashiriki uchaguzi HURU na wa HAKI; ili tumchague yeye Samia bila ya kutegemea njia za kuiba kura, au kuua waTanzania ambao yeye anadhani hawampendi?
Unaakili kisodaHakuna mwananchi anayetumia SGR muda huu anaweza kumkataa Samia.
Hakuna mwananchi anayetumia ndege za ATCL muda huu anayeweza kumkataa.
Hakuna mwananchi anayetumia zahanati za mikoani zinazoendelea kujengwa mwenye kuweza kumkataa.
Hakuna mwananchi mwenye kupata ajira kwenye viwanda vinavyojengwa muda huu mwenye uwezo wa kumkataa.
Hakuna mfanyabiashara anayenufaika na wepesi wa kusafirisha mizigo kwa kutumia bandari baada ya DP World kuanza kazi mwenye kuweza kumkataa SSH.
Wanaoweza kusema wanamkataa ni vijana wa mitandaoni ambao hawazidi milioni mbili kwa ujumla wao, mwanaharakati Kalamu akiwa mmoja wao.
Akili kisoda mnazo nyinyi mashujaa wa nyuma ya keyboard, huwezi kukiondoa madarakani chama chenye miaka 48 kwa kutumia njia ya kauli mbiu ya No reform, unapoteza muda.Unaakili kisoda
maji ya kijani hayajawahi kumwacha salama mwana kijani yeyote
Wewe "unapiga soga"; mimi sina muda huo wa kupoteza; kila mara naiwaza Tanzania yetu mnavyoinajisi watu wa hovyo kabisa kuwahi kuwa kwenye uongozi wa nchi hii.Mimi na wewe tukipiga soga humu JF, huko mikoani ahadi zake zinaendelea kutimizwa.
Kosa lenu ni kudumu na njia zile zile za kizamani za kisiasa bila ya kutambua ukweli kwamba CCM wanazo njia za kisasa za kuvutia hisia za wapiga kura.
Halafu wewe ni mjinga fulani hivi, halafu wewe hapo ulipo unajiona ni PhDMimi na wewe tukipiga soga humu JF, huko mikoani ahadi zake zinaendelea kutimizwa.
Kosa lenu ni kudumu na njia zile zile za kizamani za kisiasa bila ya kutambua ukweli kwamba CCM wanazo njia za kisasa za kuvutia hisia za wapiga kura.
Uchaguzi upo October 2025, wewe endelea kupoteza muda kwa kujifanya mzalendo wa nyuma ya keyboard.Wewe "unapiga soga"; mimi sina muda huo wa kupoteza; kila mara naiwaza Tanzania yetu mnavyoinajisi watu wa hovyo kabisa kuwahi kuwa kwenye uongozi wa nchi hii.
Wewe huna uhusiano wowote tena na CCM kuizungumzia hapa, mbali ya kukiingilia chama hicho na kukitumia kufanya maovu yenu kwa waTanzania.
Unarudia rudia tu maneno: hizo "hisia za waTanzania" mbona mnazo hofu kubwa nazo. Kuna ugumu wowote wa kuruhusu hizo hisia wazionyeshe waTanzania kwenu; kwa kuweka mazingira ya uchaguzi yanayoruhusu watu waonyeshe hisia zao?
Wewe ni mtu wa hovyo kabisa.
NORNOE.
Samia Suluhu Hassan is Doomed.
October tunatia tiki kwenye jina la Samia.Halafu wewe ni mjinga fulani hivi, halafu wewe hapo ulipo unajiona ni PhD