Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,152
- 33,036
Kutegemea mitandao kushinda uchaguzi kwenye taifa lililo na watu zaidi ya milioni sitini na watu wasiozidi milioni tano mtandaoni ni ndoto za alinacha.
Mawaziri wake tu ndio watampigia hizo kura, na wengine wengi wapo hukuOctober TUNATIKI ✅✅✅✅✅
October TUNATIKI ✅✅✅✅✅✅
Ni lini ccm mmewahi kutegemea kura halali?Kutegemea mitandao kushinda kwenye taifa lililo na watu zaidi ya milioni sitini na watu wasiozidi milioni tano mtandaoni ni ndoto za alinacha.
Ndio hapo sasa😎Ni lini ccm mmewahi kutegemea kura halali?
Soote tutapiga kuraMawaziri wake tu ndio watampigia hizo kura, na wengine wengi wapo huku
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
Huu ujinga umeanza wiki hii, wakati daftari la wapiga kura limeboreshwa mwezi March Mwaka huu.No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
Na wooooteee watapiga kuraHuu ujinga umeanza wiki hii, wakati daftari la wapiga kura limeboreshwa mwezi March Mwaka huu.
Kwa taarifa ni kwamba idadi ya wapiga kura mwaka huu ni kubwa kuliko ile ya mwaka 2020.
Idadi yao kweli ni kubwa,Huu ujinga umeanza wiki hii, wakati daftari la wapiga kura limeboreshwa mwezi March Mwaka huu.
Kwa taarifa ni kwamba idadi ya wapiga kura mwaka huu ni kubwa kuliko ile ya mwaka 2020.
Wanasemaga kura haziko mitandaoniNguvu ya jambo lolote katika kuamua, ni uwingi wa waamuzi wenyewe
Na ndiyo maana, kura nyingi, humpa mtu nguvu ya kuwa mshindi na kutawazwa kuwa kiongozi
Tunaona, hata miswaada mingi kwenye mabunge, huamriwa na nguvu ya hoja na kuungwa mkono na watu wengi ndipo inapita, na ikishindikana hivo, huitishwa kura za ki CCM za ndiyo au hapana, na pale sauti ya wengi itakaposikika, jambo hilo huamriwa kwa nguvu ya sauti hiyo
Tukirudi sasa kwa mambo yanayoendelea nchini na yale yaliyoko katika uso wa Tanzania na Watanzania
Tunaelekea kipindi mhimu sana kama nchi, ni mhimu kwa sababu ya tukio lenyewe
Uchaguzi kupata viongozi wazuri, na watakaoipeleka nchi yetu mbele
Wakati tukielekea kipindi hiko, Kama Taifa huru, linavyo vyama vinavyotegemea kuingia kwenye hatua hii mhimu ya uchaguzi
Hata hivyo, yapo mambo ambayo ni madai mhimu sana kwa vyama hususani Chadema chama kikuu cha upinzani
Madai haya na jinsi yanavyoungwa mkono kwa mamilioni ya Watanzania, ndiyo yanawapa watafiti kuangalia uhalisia sasa wa madai yao na kwamba, Chadema kimekuwa kikidai mara zote kuwa, CCM wamekuwa wakiiba kura ili wao kuendelea kukaa madarakani
Na kwa sababu hiyo, Chadema kimeadhimia, hakitaingia kwenye uchaguzi bila ya madai yake kufanyiwa marekebisho (REFORMS)
Kwa nguvu iliyopo mitandaon, kinaipa nguvu Chadema na kuwaamisha Watanzania kwa ujumla kwamba, ni kweli CCM hutumia janja janja kwenye chaguzi zote nchini
Kwa nguvu na uwingi wa wanaounga mkono hoja ya no reforms no election, ni kiashiria cha kweli kabisa, ccm huiba kura
Watanzania tuamke, Tanzania inaamriwa na Watanzania na siyo CCM
Kataa kwa nguvu zote mateso ya CCM
No reforms no election!
Mkuu mbona uko peke yako forum nzima? Wenzako wamekusaliti?October TUNATIKI
October TUNATIKI
October TUNATIKI
October TUNATIKI
October TUNATIKI
October TUNATIKI
✅✅✅✅✅✅✅✅✅🇹🇿✅🇹🇿
Ni uhuni tuWanasemaga kura haziko mitandaoni
October TUNATIKI ✅✅✅✅✅✅Mkuu mbona uko peke yako forum nzima? Wenzako wamekusaliti?
Ndoto ni kuwategemea watumishi wa umma wanaolazimishwa kuhudhuria mikutano ya CCM; na wananchama wenyewe wa chama hicho wanaosombwa ndani ya malori kupelekwa kwenye mikutano ya viongozi wao.Kutegemea mitandao kushinda uchaguzi kwenye taifa lililo na watu zaidi ya milioni sitini na watu wasiozidi milioni tano mtandaoni ni ndoto za alinacha.
Dah!Ndio hapo sasa😎
Kwa hiyoi!Huu ujinga umeanza wiki hii, wakati daftari la wapiga kura limeboreshwa mwezi March Mwaka huu.
Kwa taarifa ni kwamba idadi ya wapiga kura mwaka huu ni kubwa kuliko ile ya mwaka 2020.
Sizinduki😎…Hili ni JINAMIZI. ZINDUKA!
Siyo mitandaoni tu angalia mikutano ya kina Heche watu wanavyo vibeKwa nguvu iliyopo mitandaon, kinaipa nguvu Chadema na kuwaamisha Watanzania kwa ujumla kwamba, ni kweli CCM hutumia janja janja kwenye chaguzi zote nchini
Free tundu lissuNo reform no election
No reform no election