Akianza kuwaza sjui madhabahu ya ukoo sjui nn mtamchanganya atachanganyikiwaKweli umefungwa na madhabahu ya ukoo
Wachangiaji hapo juu wanaipinga hiyo ibada,sijajua mapungufu ya hiyo ibada.Hivi kabla ya wamisionari na wale waarabu kuja Afrika kusambaza ukristo na uislamu, mababu zetu walikua wanafanya ibada gani? Au walikua wapagani tuu
Hujawahi pata.Ninachosema ndicho?Namfuata Dm?.Alipofikia kuokoka ni lazimaAkianza kuwaza sjui madhabahu ya ukoo sjui nn mtamchanganya atachanganyikiwa
Aache fikra kbsa za kiroho sijui mizimu sijui yesu anamtaka ashushe roho mtakatfu apambane na mizimu sijui anakataliwa uchum umegoma sjui nn ....
Hayo mamb hayana ishu atachanganyikiwa nasema hvyo sbb mm nimewah kuwa Mwislam swaf. Nikaokoka nikaacha wokovu nikaamin mizimu mwsho nikabak sina imani ya hz mambo ujnga ujnga n mwng sn humo
Usifate kla ushaur utaendelea kuona wachungaji wananunua V8 tu. Piga chini imani za Kingese.Familia yako mababu waliitolea mizimu sadaka wakafunga na sadaka jifungue mwenyewe kwa kutoa sadaka kwa kuwapa wahitaji kupitia hio sadaka inenee jambo Mungu akutendee Nini.
Kutoa kuna nguvu sana ya kuvunja laana, mikosi,na vifungo vyote.
Jiulize kwann wazungu wanatoa sana misaada Africa wanazijua Siri hizi za dunia.
Sio wajinga hawatoi bure bila kujua
Muumini kapata muumin mpya wapelekane kwny mkanisa. Imani za kingeseHujawahi pata.Ninachosema ndicho?Namfuata Dm?.Alipofikia kuokoka ni lazima
Kile ulichoaminishwa ndicho kilisumbuacho. Badala ya kushughulikia afya kitaalam we unaongea manyang'unyang'u. Mizimu imefanyaje sasa? Wewe ni mgonjwa nenda hospitali. Pia jaribu kujichunguza mwenyewe ujue shida yako ya afya ni gani gani maana nako hospitali unaweza kutana na maneno ya ugonjwa hauonekaniHabari wana JF, mimi ni new member ningependa mnikaribishe katika Jukwaa letu.
Mimi Ni kijana wa miaka 30’s, kwa mda wa miaka 3 nimekua nikisumbuliwa na Nguvu za giza na Mizimu ya ukoo ambayo imepelekea kuharibu dira ya maisha yangu, nilianza na kuumwa homa za ajabu ajabu, mwili kuchoka, dalili za homa ya Presha.
Nilihangaika sana ikiwemo kwenda kwa waganga wa kienyeji, nikawa napata nafuu lakini baada ya mda hali inarudi palepale, nikajaribu na makanisani ikawa ni vita kali, nako nikawa napata nafuu ila hali inarudi pale pale ikiwa kuhisi mwili unaumwa, kuchoka, macho kuhisi yana kiza na Moyo kuuma sana.
Nilihangaika pia na maombi binafsi ya kujiombea mimi mwenyewe pamoja na watumishi wa Mungu, nikafanikiwa kupunguza hii hali kwa kiasi chake nikapata nafuu.
Kuja kwenu wanaJF ninaomba ushauri kwa sababu nimefungwa upande wa uchumi, akili yangu imefungwa.
Inafika hatua ya kukata tamaa na kuona kila kitu hakiendi na pia kila ninapopata ishu ya kazi au dili lolote hua inafika sehemu mambo yanaharibika, nimekua na roho ya kukataliwa, kila ninapoenda ninadharauliwa na kubezwa, nilishaenda sehemu nikahisiwa mimi ni Mwizi, kiukweli ni kama nina mikosi au gundu.
Siku Moja niliwasiliana na ndugu wa baba ambao wao ni wasukuma, wakaniambia hio kawaida kuna mizimu inabidi kwenda kutambika kwa sababu ukoo wetu tangu enzi ni wa mambo hayo ya kimizimu.
Nipo kwenye dilema nikubaliane na mambo ya kutambika au niendelee huku niliko upande wa Makanisa, japo kiukweli napata vita kubwa kila napopigana na hizi nguvu makanisani.
WanaJF kiukweli nimefika hatua nachanganyikiwa, kila kitu hakiko sawa, nakosa kujiamini kwa kila jambo nalotaka kufanya, ninaomba ushauri wenu na mawazo yenu.
Najua Jukwaa hili lina watu wenye maarifa na maono. Nitashukuru sana
Cc MshanaJR
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hujawahi pata.Ninachosema ndicho?Namfuata Dm?.Alipofikia kuokoka ni lazima
Unajua maana ya kutambikia?Habari wana JF, mimi ni new member ningependa mnikaribishe katika Jukwaa letu.
Mimi Ni kijana wa miaka 30’s, kwa mda wa miaka 3 nimekua nikisumbuliwa na Nguvu za giza na Mizimu ya ukoo ambayo imepelekea kuharibu dira ya maisha yangu, nilianza na kuumwa homa za ajabu ajabu, mwili kuchoka, dalili za homa ya Presha.
Nilihangaika sana ikiwemo kwenda kwa waganga wa kienyeji, nikawa napata nafuu lakini baada ya mda hali inarudi palepale, nikajaribu na makanisani ikawa ni vita kali, nako nikawa napata nafuu ila hali inarudi pale pale ikiwa kuhisi mwili unaumwa, kuchoka, macho kuhisi yana kiza na Moyo kuuma sana.
Nilihangaika pia na maombi binafsi ya kujiombea mimi mwenyewe pamoja na watumishi wa Mungu, nikafanikiwa kupunguza hii hali kwa kiasi chake nikapata nafuu.
Kuja kwenu wanaJF ninaomba ushauri kwa sababu nimefungwa upande wa uchumi, akili yangu imefungwa.
Inafika hatua ya kukata tamaa na kuona kila kitu hakiendi na pia kila ninapopata ishu ya kazi au dili lolote hua inafika sehemu mambo yanaharibika, nimekua na roho ya kukataliwa, kila ninapoenda ninadharauliwa na kubezwa, nilishaenda sehemu nikahisiwa mimi ni Mwizi, kiukweli ni kama nina mikosi au gundu.
Siku Moja niliwasiliana na ndugu wa baba ambao wao ni wasukuma, wakaniambia hio kawaida kuna mizimu inabidi kwenda kutambika kwa sababu ukoo wetu tangu enzi ni wa mambo hayo ya kimizimu.
Nipo kwenye dilema nikubaliane na mambo ya kutambika au niendelee huku niliko upande wa Makanisa, japo kiukweli napata vita kubwa kila napopigana na hizi nguvu makanisani.
WanaJF kiukweli nimefika hatua nachanganyikiwa, kila kitu hakiko sawa, nakosa kujiamini kwa kila jambo nalotaka kufanya, ninaomba ushauri wenu na mawazo yenu.
Najua Jukwaa hili lina watu wenye maarifa na maono. Nitashukuru sana
Cc MshanaJR
Huzijui skadi bila Yesu.leo ningekuwa nimelamba mchanga.Sio Kila kanisa linahitaji huduma.Atabaki huko huko aliko lakini lazima Aokoke.Makanisa mengi kuanzia Roman,@Angalican,lutheran wapo waliokoka.Ajiunge nao na aokoke atatoboa tuMuumini kapata muumin mpya wapelekane kwny mkanisa. Imani za kingese
Dogo utateseka had uchanganyikiwe achana na mambo za kiroho
Ww ndiye unakoroga mambo
Et alipofika lazma aokoke ... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] endeleen kukoroga mambo
kabisa huwa tunazidharau ila zina maana yake pana na muhimu sana.fanya unachoona wewe ni sahihi ila traditions zina umuhimu wake pia
Wa kike mkuuWa kwanza ni WA kiume au wa kike?
I knew it.Wa kike mkuu
Ndugu, utafutaji wa pesa unaendana na Afya njema. Kama Afya yako inatikisika unakua mtu wa kuumwa, pesa unatafutaje. Afya ndo mtaji wa kila kituAfu huyu kijana sio tu mizimu sijui nn ... Mara maisha vle mara hiv... Mara makanisa mara sjui nn
Oya kijana kwanza unaonekana hauna Pesa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tafuta pesa hta kw jasho pga kaz yyte pga vbarua pata pesa yko ishi toa fikra za kijinga
Ukipata pesa yyte hautoona usumbufu w mizimu wala ktu chchte utaish kwny uhalisia w mahtaj yko huwez kuhis unarogwa au mizmu inaharbu maisha yko
Pesa nazo n changamoto unaweza kla ktu hakiko sawa
Mara vle mara hiv
Asante sana Mkuu., hivi vitabu naweza vipata online?I knew it.
Wewe ni Mzaliwa wa kwanza.
Miungu ya kwenu Inakutaka ukalie KITI Cha ukoo, wakati huo huo, Mungu anakutaka.
Hapo usirudi nyuma kussurender Kwa Mizimu, endelea Kupambana.
Unahitaji company ya waliookoka Ili msaidiane Kupambana pamoja, Nina uhakika Mizimu itapambana, lakini haitashinda. Ongeza Imani pia katika Mungu.
Soma vitabu viwili vya Mwl MWAKASEGE kinahusu Mzaliwa wa kwanza kama lango, na kingine kinahusu Sadaka.
Mungu akifunike na kukuzungushia ulinzi, uwe salama.
Amen
Pitia website yake, naamini utapata Utaratibu wa jinsi ya kuvipata.Asante sana Mkuu., hivi vitabu naweza vipata online?
Sawa mkuu, achabnipite kwenye website yakePitia website yake, naamini utapata Utaratibu wa jinsi ya kuvipata.
Binafsi, nimekuwa nikivinunua kwenye semina zake sehemu mbalimbali nchini.