Nguvu za giza na mizimu ya ukoo

Nguvu za giza na mizimu ya ukoo

Kweli umefungwa na madhabahu ya ukoo
Akianza kuwaza sjui madhabahu ya ukoo sjui nn mtamchanganya atachanganyikiwa

Aache fikra kbsa za kiroho sijui mizimu sijui yesu anamtaka ashushe roho mtakatfu apambane na mizimu sijui anakataliwa uchum umegoma sjui nn ....

Hayo mamb hayana ishu atachanganyikiwa nasema hvyo sbb mm nimewah kuwa Mwislam swaf. Nikaokoka nikaacha wokovu nikaamin mizimu mwsho nikabak sina imani ya hz mambo ujnga ujnga n mwng sn humo
 
Hivi kabla ya wamisionari na wale waarabu kuja Afrika kusambaza ukristo na uislamu, mababu zetu walikua wanafanya ibada gani? Au walikua wapagani tuu
Wachangiaji hapo juu wanaipinga hiyo ibada,sijajua mapungufu ya hiyo ibada.
Kama ni sadaka kote zinahitajika kwa kiwango kisichopishana, masharti yanafanana
 
Akianza kuwaza sjui madhabahu ya ukoo sjui nn mtamchanganya atachanganyikiwa

Aache fikra kbsa za kiroho sijui mizimu sijui yesu anamtaka ashushe roho mtakatfu apambane na mizimu sijui anakataliwa uchum umegoma sjui nn ....

Hayo mamb hayana ishu atachanganyikiwa nasema hvyo sbb mm nimewah kuwa Mwislam swaf. Nikaokoka nikaacha wokovu nikaamin mizimu mwsho nikabak sina imani ya hz mambo ujnga ujnga n mwng sn humo
Hujawahi pata.Ninachosema ndicho?Namfuata Dm?.Alipofikia kuokoka ni lazima
 
Familia yako mababu waliitolea mizimu sadaka wakafunga na sadaka jifungue mwenyewe kwa kutoa sadaka kwa kuwapa wahitaji kupitia hio sadaka inenee jambo Mungu akutendee Nini.
Kutoa kuna nguvu sana ya kuvunja laana, mikosi,na vifungo vyote.
Jiulize kwann wazungu wanatoa sana misaada Africa wanazijua Siri hizi za dunia.
Sio wajinga hawatoi bure bila kujua
Usifate kla ushaur utaendelea kuona wachungaji wananunua V8 tu. Piga chini imani za Kingese.
 
Hujawahi pata.Ninachosema ndicho?Namfuata Dm?.Alipofikia kuokoka ni lazima
Muumini kapata muumin mpya wapelekane kwny mkanisa. Imani za kingese

Dogo utateseka had uchanganyikiwe achana na mambo za kiroho

Ww ndiye unakoroga mambo

Et alipofika lazma aokoke ... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] endeleen kukoroga mambo
 
Habari wana JF, mimi ni new member ningependa mnikaribishe katika Jukwaa letu.

Mimi Ni kijana wa miaka 30’s, kwa mda wa miaka 3 nimekua nikisumbuliwa na Nguvu za giza na Mizimu ya ukoo ambayo imepelekea kuharibu dira ya maisha yangu, nilianza na kuumwa homa za ajabu ajabu, mwili kuchoka, dalili za homa ya Presha.

Nilihangaika sana ikiwemo kwenda kwa waganga wa kienyeji, nikawa napata nafuu lakini baada ya mda hali inarudi palepale, nikajaribu na makanisani ikawa ni vita kali, nako nikawa napata nafuu ila hali inarudi pale pale ikiwa kuhisi mwili unaumwa, kuchoka, macho kuhisi yana kiza na Moyo kuuma sana.

Nilihangaika pia na maombi binafsi ya kujiombea mimi mwenyewe pamoja na watumishi wa Mungu, nikafanikiwa kupunguza hii hali kwa kiasi chake nikapata nafuu.

Kuja kwenu wanaJF ninaomba ushauri kwa sababu nimefungwa upande wa uchumi, akili yangu imefungwa.

Inafika hatua ya kukata tamaa na kuona kila kitu hakiendi na pia kila ninapopata ishu ya kazi au dili lolote hua inafika sehemu mambo yanaharibika, nimekua na roho ya kukataliwa, kila ninapoenda ninadharauliwa na kubezwa, nilishaenda sehemu nikahisiwa mimi ni Mwizi, kiukweli ni kama nina mikosi au gundu.

Siku Moja niliwasiliana na ndugu wa baba ambao wao ni wasukuma, wakaniambia hio kawaida kuna mizimu inabidi kwenda kutambika kwa sababu ukoo wetu tangu enzi ni wa mambo hayo ya kimizimu.

Nipo kwenye dilema nikubaliane na mambo ya kutambika au niendelee huku niliko upande wa Makanisa, japo kiukweli napata vita kubwa kila napopigana na hizi nguvu makanisani.

WanaJF kiukweli nimefika hatua nachanganyikiwa, kila kitu hakiko sawa, nakosa kujiamini kwa kila jambo nalotaka kufanya, ninaomba ushauri wenu na mawazo yenu.

Najua Jukwaa hili lina watu wenye maarifa na maono. Nitashukuru sana

Cc MshanaJR
Kile ulichoaminishwa ndicho kilisumbuacho. Badala ya kushughulikia afya kitaalam we unaongea manyang'unyang'u. Mizimu imefanyaje sasa? Wewe ni mgonjwa nenda hospitali. Pia jaribu kujichunguza mwenyewe ujue shida yako ya afya ni gani gani maana nako hospitali unaweza kutana na maneno ya ugonjwa hauonekani
 
Unachokiongea is real, ni wachache wanaweza kukuelewa.

Iko hivi:
Usithubutu kabisa kufanya hayo matambiko, ukifanya matambiko unayapa nguvu zaidi dhidi yako.

1. Jikabidhi kwa Mwenyezi Mungu kiukweliukweli, siyo unatia mguu kisha unatoka
2. Ishi maisha ya usafi, acha uzinifu, ulevi, na mambo machafu
3. Kuwa conscious na Mwenyezi Mungu , yaani kulitaja jina lake mara kwa mara ukiwa peke yako, kumuomba (Lakini kuwa makini usije kugeuka kama walokole wale wapiga makelele njiani)
4. Kabla hujatoka kwenda kazini, taja jina la Mwenyezi Mungu, Ukirudi nyumbani fanya hivyo hivyo
5. Ukifanya maombi vita ikawa kubwa usiogope, jikaze, yenyewe yataretreat. Yakiretreat haimaanishi yameondoka, yankungoja ukiwa ktk low spirit level yaje tena, kwa hiyo ndiyo maana ni muhimu sana kuishi ktk high spiritual levels all the time.
6. Huwa yana kawaida ya kukuletea mawazo ya kukata tamaa, unaweza kudhani ni wewe ndiye unayedhani hivyo bila influence yoyote, lakini kimsingi yenyewe ndo yanaplant mawazo hayo. Jifunze kuignore mawazo negative na kupromote mawazo chanya.
7 Hiyo ni vita nzito, ukiimanage Mweneyezi Mungu kwa rehema zake atakupa malipo makubwa
 
Habari wana JF, mimi ni new member ningependa mnikaribishe katika Jukwaa letu.

Mimi Ni kijana wa miaka 30’s, kwa mda wa miaka 3 nimekua nikisumbuliwa na Nguvu za giza na Mizimu ya ukoo ambayo imepelekea kuharibu dira ya maisha yangu, nilianza na kuumwa homa za ajabu ajabu, mwili kuchoka, dalili za homa ya Presha.

Nilihangaika sana ikiwemo kwenda kwa waganga wa kienyeji, nikawa napata nafuu lakini baada ya mda hali inarudi palepale, nikajaribu na makanisani ikawa ni vita kali, nako nikawa napata nafuu ila hali inarudi pale pale ikiwa kuhisi mwili unaumwa, kuchoka, macho kuhisi yana kiza na Moyo kuuma sana.

Nilihangaika pia na maombi binafsi ya kujiombea mimi mwenyewe pamoja na watumishi wa Mungu, nikafanikiwa kupunguza hii hali kwa kiasi chake nikapata nafuu.

Kuja kwenu wanaJF ninaomba ushauri kwa sababu nimefungwa upande wa uchumi, akili yangu imefungwa.

Inafika hatua ya kukata tamaa na kuona kila kitu hakiendi na pia kila ninapopata ishu ya kazi au dili lolote hua inafika sehemu mambo yanaharibika, nimekua na roho ya kukataliwa, kila ninapoenda ninadharauliwa na kubezwa, nilishaenda sehemu nikahisiwa mimi ni Mwizi, kiukweli ni kama nina mikosi au gundu.

Siku Moja niliwasiliana na ndugu wa baba ambao wao ni wasukuma, wakaniambia hio kawaida kuna mizimu inabidi kwenda kutambika kwa sababu ukoo wetu tangu enzi ni wa mambo hayo ya kimizimu.

Nipo kwenye dilema nikubaliane na mambo ya kutambika au niendelee huku niliko upande wa Makanisa, japo kiukweli napata vita kubwa kila napopigana na hizi nguvu makanisani.

WanaJF kiukweli nimefika hatua nachanganyikiwa, kila kitu hakiko sawa, nakosa kujiamini kwa kila jambo nalotaka kufanya, ninaomba ushauri wenu na mawazo yenu.

Najua Jukwaa hili lina watu wenye maarifa na maono. Nitashukuru sana

Cc MshanaJR
Unajua maana ya kutambikia?

Kutambikia na maombi ni kitu cha aina moja. Na kumbuka wazungu wasingetutawala tungeendea na imani zetu pia sisi tungewatawala wazungu tungewarithisha imank zetu.

Lakini kwa makanisa haya ya sasa unaona Kuna kanisa la kweli? Makanisa mengi ya sasa wachungaji ndiyo wamechukua nafasi ya Mungu. Waumini wanawaabudu wachungaji na siyo Mungu. Hivyo chagua sehemu utakayoona inakuondolea matatizo uliyonayo
 
Muumini kapata muumin mpya wapelekane kwny mkanisa. Imani za kingese

Dogo utateseka had uchanganyikiwe achana na mambo za kiroho

Ww ndiye unakoroga mambo

Et alipofika lazma aokoke ... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] endeleen kukoroga mambo
Huzijui skadi bila Yesu.leo ningekuwa nimelamba mchanga.Sio Kila kanisa linahitaji huduma.Atabaki huko huko aliko lakini lazima Aokoke.Makanisa mengi kuanzia Roman,@Angalican,lutheran wapo waliokoka.Ajiunge nao na aokoke atatoboa tu
 
Afu huyu kijana sio tu mizimu sijui nn ... Mara maisha vle mara hiv... Mara makanisa mara sjui nn

Oya kijana kwanza unaonekana hauna Pesa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tafuta pesa hta kw jasho pga kaz yyte pga vbarua pata pesa yko ishi toa fikra za kijinga
Ukipata pesa yyte hautoona usumbufu w mizimu wala ktu chchte utaish kwny uhalisia w mahtaj yko huwez kuhis unarogwa au mizmu inaharbu maisha yko

Pesa nazo n changamoto unaweza kla ktu hakiko sawa

Mara vle mara hiv
 
Wa kike mkuu
I knew it.

Wewe ni Mzaliwa wa kwanza.

Miungu ya kwenu Inakutaka ukalie KITI Cha ukoo, wakati huo huo, Mungu anakutaka.

Hapo usirudi nyuma kussurender Kwa Mizimu, endelea Kupambana.

Unahitaji company ya waliookoka Ili msaidiane Kupambana pamoja, Nina uhakika Mizimu itapambana, lakini haitashinda. Ongeza Imani pia katika Mungu.

Soma vitabu viwili vya Mwl MWAKASEGE kinahusu Mzaliwa wa kwanza kama lango, na kingine kinahusu Sadaka.

Mungu akifunike na kukuzungushia ulinzi, uwe salama.

Amen
 
Wewe ndio unashida wala hakuna mizimu wala nguvu za giza.

Ukisha uaminisha ubongo wako na Akili yako kwamba kitu fulani ndicho chanzo cha matatizo yako, Basi ubongo wako uta respond hivyo hivyo.
 
Afu huyu kijana sio tu mizimu sijui nn ... Mara maisha vle mara hiv... Mara makanisa mara sjui nn

Oya kijana kwanza unaonekana hauna Pesa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tafuta pesa hta kw jasho pga kaz yyte pga vbarua pata pesa yko ishi toa fikra za kijinga
Ukipata pesa yyte hautoona usumbufu w mizimu wala ktu chchte utaish kwny uhalisia w mahtaj yko huwez kuhis unarogwa au mizmu inaharbu maisha yko

Pesa nazo n changamoto unaweza kla ktu hakiko sawa

Mara vle mara hiv
Ndugu, utafutaji wa pesa unaendana na Afya njema. Kama Afya yako inatikisika unakua mtu wa kuumwa, pesa unatafutaje. Afya ndo mtaji wa kila kitu
 
I knew it.

Wewe ni Mzaliwa wa kwanza.

Miungu ya kwenu Inakutaka ukalie KITI Cha ukoo, wakati huo huo, Mungu anakutaka.

Hapo usirudi nyuma kussurender Kwa Mizimu, endelea Kupambana.

Unahitaji company ya waliookoka Ili msaidiane Kupambana pamoja, Nina uhakika Mizimu itapambana, lakini haitashinda. Ongeza Imani pia katika Mungu.

Soma vitabu viwili vya Mwl MWAKASEGE kinahusu Mzaliwa wa kwanza kama lango, na kingine kinahusu Sadaka.

Mungu akifunike na kukuzungushia ulinzi, uwe salama.

Amen
Asante sana Mkuu., hivi vitabu naweza vipata online?
 
Pitia website yake, naamini utapata Utaratibu wa jinsi ya kuvipata.

Binafsi, nimekuwa nikivinunua kwenye semina zake sehemu mbalimbali nchini.
 
Back
Top Bottom