NHIF Waongeza gharama za Bima ya Afya kwa Watoto, sasa kulipa Tsh. 120,000/= badala ya Tsh. 50,400/=

Mtumishi hiyk 40k anayokatwa ni kwa mtu mmoja? Hiyo 40k kumbuka anakatwa kwa watu wengi ambao ukigawanya unapata kiwango kidogo tu
 
Kuna siku 90 za kusubiri. Sio kwamba mtoto akiumwa hapohapo unaenda kukata bima alafu anaanza kutibiwa
 
Ni kilio, baada ya NHIF kufuta kifurushi cha Toto Afya na kulazimisha mzazi kukata bima ya afya pamoja na Watoto wao na gharama kupanda kutoka 50,400 mpaka 120,000 kwa mtoto mmoja.

View attachment 2551779
Mm nimeangalia hapo sijaona hiyo 120,000 uliyosema.
any way wameshatengeneza tatizo sasa tunasubili mama aje awape maelekezo NHIF ya kurudisha bima ya toto afya kadi then tushangilie na kumsifu mama hakuna kama yeye🤣🤣🤣
Stupid!
 
Baraza limekaa juzi ndo maana maamuzi yamekuja baada ya kikao hicho,vinginevyo maamuzi yangeshatoka tarehe 01/03

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
binafsi naona kuna jambo haliko wazi kataka mchakato mzima wa Bima kwa watoto.
Wana matumizi makubwa mbali ya kulipa huduma za afya. Hakuna haja ya kuwa na ofisi kila mkoa. Halafu ofisi zenyewe ni kubwa zimeajiri watu kibao utafikiri ni hospitali zenyewe. Huko ndo kunahitajika kupunguza. NHIF iko kimfumo so watu wapewe link, unajaza form online, unaambatanisha na vielelezo then watu wachache wanachukua, wanatathmini then wanampatia mtu kadi. Siyo ofisi sijui za kanda, mkoa, wilaya. Mtu mmoja au wawili mkoani wanatosha kuiwakilisha NHIF kupokea maombi mapya
 
Acha kupenda kitonga,huo mfuko wa bima ulikua inaelekea kuzimu,kutwa kuuhujumu,mkitibiwa malaria familia nzima kwa mwaka ambayo haipungui Mara tatu kila mmoja ni si chini ya 300000

Acha kupenda kitonga,huo mfuko wa bima ulikua inaelekea kuzimu,kutwa kuuhujumu,mkitibiwa malaria familia nzima kwa mwaka ambayo haipungui Mara tatu kila mmoja ni si chini ya 300000
Ccm majambazi
 
NHIF wamesema hawajamlazimisha mtu kujiunga na Bima ya Afya, hivyo uchaguzi ni wewe kulipa au usilipe

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…