Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elfu kumi kwa mwezi ni kubwa!?..mtoto akienda tibiwa malaria hakati elfu 40!?sio kitonga, hizo gharama ni kubwa sana.
Nyie wenyewe mnasema haifai lakini kutwa mko Ikulu kuyajenga na kuwaomba waje kwny vikao vyenu kuwahutubiaTunaposema ccm haifai muwe mnaelewa
Sio kweli, ukichukua jumla ya wategemezi unaowaweka kwenye bima na hiayo makato kwa mwaka. waaniriwa wanalipa kidogoLakini waajiriwa wanachangia kiwango kikubwa zaidi kuliko hawa wa vifurushi
Mtumishi hiyk 40k anayokatwa ni kwa mtu mmoja? Hiyo 40k kumbuka anakatwa kwa watu wengi ambao ukigawanya unapata kiwango kidogo tuWaTanzania asili yetu ni watu wa kulalamika lalamika bila hata kutumia akili zetu ku- reason out, hiyo kasumba ililetwa na siasa za ujamaa za kuchonganisha sera za kibepari na raia wake, 120,000 ni sawa na sh 10,000 kwa kila mwenzi kwa ajiri ya afya ya mwanao.
Kwa kweli hiyo sio nyingi, kwa nchi nilizo tembelea bima ni gharama kubwa sana mara 5 au 10 na ya kwetu, tuwe fair some time, mtumishi wa wastani anakatwa 40,000 ya mshahara wake kila mwezi kwa ajiri ya bima hao ndo wanao fidia hiyo pesa tuwe waelewa katika vitu vya msingi kama afya ya wstoto wetu kama huwezi kutenga 10k kwa ajiri ya afya ya mwanai kila kwanini unaendelea kuwapa wanawake mimba?
Watanzania wamejaa ujinga, hupaswi waonea hurumaElfu kumi kwa mwezi ni kubwa!?..mtoto akienda tibiwa malaria hakati elfu 40!?
Kuna siku 90 za kusubiri. Sio kwamba mtoto akiumwa hapohapo unaenda kukata bima alafu anaanza kutibiwaNdugu zangu,
Iko hivi, hii bima ya toto afya na nyinginezo za private wanajiunga baada ya familia husika kupata tatizo la kuuguliwa na mtoto au ndugu. Ukiwa na mfuko wa NHIF ambao wanachama wake wanajiunga wakiwa wanaumwa karibu wote ni hatari Kwa uhai wa mfuko wenyewe.
Mm nimeangalia hapo sijaona hiyo 120,000 uliyosema.Ni kilio, baada ya NHIF kufuta kifurushi cha Toto Afya na kulazimisha mzazi kukata bima ya afya pamoja na Watoto wao na gharama kupanda kutoka 50,400 mpaka 120,000 kwa mtoto mmoja.
View attachment 2551779
Baraza limekaa juzi ndo maana maamuzi yamekuja baada ya kikao hicho,vinginevyo maamuzi yangeshatoka tarehe 01/03Mm nimeangalia hapo sijaona hiyo 120,000 uliyosema.
any way wameshatengeneza tatizo sasa tunasubili mama aje awape maelekezo NHIF ya kurudisha bima ya toto afya kadi then tushangilie na kumsifu mama hakuna kama yeye[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Stupid!
Baraza limekaa juzi ndo maana maamuzi yamekuja baada ya kikao hicho,vinginevyo maamuzi yangeshatoka tarehe 01/03
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ndo umuulize mtoa mada amekitoa wapi, maana NHIF wameifuta kabisa, sisi wengine twatibiwa watoto wetu hadi ikifika mwisho wake ndo kwa heri120,000 Mbona hapo haionekanii
Wana matumizi makubwa mbali ya kulipa huduma za afya. Hakuna haja ya kuwa na ofisi kila mkoa. Halafu ofisi zenyewe ni kubwa zimeajiri watu kibao utafikiri ni hospitali zenyewe. Huko ndo kunahitajika kupunguza. NHIF iko kimfumo so watu wapewe link, unajaza form online, unaambatanisha na vielelezo then watu wachache wanachukua, wanatathmini then wanampatia mtu kadi. Siyo ofisi sijui za kanda, mkoa, wilaya. Mtu mmoja au wawili mkoani wanatosha kuiwakilisha NHIF kupokea maombi mapyabinafsi naona kuna jambo haliko wazi kataka mchakato mzima wa Bima kwa watoto.
Mi sina chamaNyie wenyewe mnasema haifai lakini kutwa mko Ikulu kuyajenga na kuwaomba waje kwny vikao vyenu kuwahutubia
Acha kupenda kitonga,huo mfuko wa bima ulikua inaelekea kuzimu,kutwa kuuhujumu,mkitibiwa malaria familia nzima kwa mwaka ambayo haipungui Mara tatu kila mmoja ni si chini ya 300000
Ccm majambaziAcha kupenda kitonga,huo mfuko wa bima ulikua inaelekea kuzimu,kutwa kuuhujumu,mkitibiwa malaria familia nzima kwa mwaka ambayo haipungui Mara tatu kila mmoja ni si chini ya 300000
Yo gharama ni sh 300 kwa siku,unalialiaCcm majambazi
Wengi wanaweka siasa, watu hawatakiwi onewa huruma.Yo gharama ni sh 300 kwa siku,unalialia
CCM na watendaji maofisini kwenye taasisi kama hii vinahusina nini? Mbona we umeongea ukichaa aiseeTunaposema ccm haifai muwe mnaelewa