Sasa sidhani kama kuna mtu anakonda kubagua mtoto wa kumkatia bima kama hela unayo.Tatizo la hii Bima ya Watoto ya shilingi elfu 50,400 tulikuwa tunachagua mno watoto wa kujiunga, yaani nina watoto watatu basi nalipia yule mtoto tu anayeumwa, sasa kwa mtindo huu lazima mfuko ungeelemewa na wagonjwa.
Yaaani ni kama una gari unasubiri ipate ajali ndiyo uikatie Bima, hapa NHIF walijitia kitanzi wenyewe.
Ndiyo shida inapoanzia hapo sasa, ina maana huo utakuwa ni Mfuko wa kuhudumia wagonjwa sasa, baada ya muda lazima utaanguka,Sasa sidhani kama kuna mtu anaconda kubagua mtoto wa kumkatia bima kama hela unayo.
Kutokuwa na hela ndio kinachochangia mtu analna bora amlipie yule mwenye afya isiyo imara,so usione kama watu wanafanya kusudi.
Afadhali...Tayari kuna Muongozo umetolewa kuhusu suala hilo kuwa Jambo linafanyiwa marekebisho Hivyo wito kwa wazazi waendelee kusajili watoto wao
mbona hiyo ilikuwepo siku zote au niseme kuna baadhi ya taasisi zilisha jiongeza...Asanteni NHIF mi nimependa sana utaratibu wenu wa watoto kusajiliwa kupitia shule wanazosoma aisee hii imetulia kwanza mmetuondolea usumbufu wa kufuata hiyo huduma mjini sisi tuta dili na walimu wakuuu mashuleni kwetu
Hapo mwakani ndo mwisho wa kulipia kwa hudumabinafsi nimelipa tar 28/2
Hakuna afadhari hapo kiufupi wameifuta ili watu walipe kwa umoja wa familia ambapo principal member atalipa zaidi.Afadhali...
Basi kama ni hivyo,iletwe bima ya wote kabisa..Ndiyo shida inapoanzia hapo sasa, ina maana huo utakuwa ni Mfuko wa kuhudumia wagonjwa sasa, baada ya muda lazima utaanguka,
Bima inatakiwa kulipiwa kabla ya kuugua, Bima inalipiwa kama kinga dhidi ya janga, siyo baada ya kupatwa na janga.
Unaelewa maana ya bima? Hata hiyo ya laki 4 bado matibabu yatafika hiyo mil 20Wameepusha ubaguzi ... saivi kata familia tu ... watoto kwa 50,400 unapata huduma mpaka milioni 20, we ulisikia wapi duniani. Okoa mfuko
Kipi kinabadilika Sasa hivi?Tatizo la hii Bima ya Watoto ya shilingi elfu 50,400 tulikuwa tunachagua mno watoto wa kujiunga, yaani nina watoto watatu basi nalipia yule mtoto tu anayeumwa, sasa kwa mtindo huu lazima mfuko ungeelemewa na wagonjwa.
Yaaani ni kama una gari unasubiri ipate ajali ndiyo uikatie Bima, hapa NHIF walijitia kitanzi wenyewe.
Acha vituko basi yaani mzazi mwenye watoto 7, 8, au 5 (kumbuka ndio hali halisi vijijini huko) na wote wanasoma shule alipie kila mtoto elfu 50,400 tena kwa mwaka.Lengo wanataka waondoe mchangiaji mmoja mmoja, wanataka waweke nguvu kwenye shule kila mwanafunzi lazima awe na lazi, wakifanya hivyo watapata wachangiaji milioni 10 kwa mwaka ambao watagenerate zaidi ya Bilioni 50
Lengo lao ni wachangiaji wawe wengi.
Wanaondoa ile ya mtu 1 kukatiwa
Bima ya afya kwa wote itajibu maswali mengi sana ambayo wananchi tunajiuliza kuhusu bima ya Afya. Serikali inatakiwa kufanya kadri wawezavyo kutuharakishia Bima ya afya kwa wote
Wekeza afya,NHIF ina vifurushi vya bima ya afya unavyoweza kujiunga kulingana na uhitaji, ukubwa wa familia na umri. View attachment 2549277
Mliozaliwa Kwa wakunga WA kienyeji mnatabu Sana ......mkaona vitoto vinaupiga mwingiTaarifa ya Mfuko wa Bima inasema Inafanyaa Maboresho lakini pia wazazi wanweza kuendelea kuwasajili wantoto wao kupitia mashuleni nk. lakini inatakiwa watu wajue mwarubaini wa haya yote yanayoonekana ni chabngamoto ni mfumo wa Bima ya afya kwa wote huu ni Utaratibu mzuri sana , Serikali imechelewa mfumo wa bima ya afya kwa wote unatakiwa kuharakishwa kwani utakua ni mkombozi wa mambo mengi tunayoyaona ni gharama hivi sasa , tena .Tuleteeni Bima ya Afya kwa Wote TUPONE. Maisha yaendelee tuwe na uhakika wa Matibabu kabla ya kuugua
Nilitaka kusema hivi. Walimu sisi watoto wetu, wazazi wetu wataendelea kupata huduma bila wasi wasi.MATAJIRI WA JF LIPENI JUBLEI BIMA.
NYIE MUDA WOTE KUKEBEHI WATUMISHI WA UMMA HASA WALIMU. KWA KUWA MNAPESA LIPENI KESHI.
Shule gani unazungumzia, izi ambazo hazina HAta madawati ,walimu , Ndio nhif itakuwa inapatikana hapoAisee NHIF mmejua kutuletea huduma karibu kijijini kwetu kwa hiyo sahizi mambo namalizia shule iliyopo kijijini kwetu hakuna kwenda wilayani mambo ni huduma karibu na wananchi.
Asante sana Mama Samia maana kwenda Bomani sie wengine hatuna nauli ya kwenda kufuatilia bora tumalizie hapahaoa kijijini kwetu
HUyo jamaa anazungumza , chekechea, primary, secondary 0&A nao wapate bima wakiwa shulenimbona hiyo ilikuwepo siku zote au niseme kuna baadhi ya taasisi zilisha jiongeza...
Mf: Kuna mdogo wangu alisoma chuo cha kati, na malipo yote ya Bima nilikuwa nalipa Chuoni wanafanya kila kitu wenyewe na ndio ulikuwa utaratibu za Chuo