Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

Sabaya ana kosa gani pumbsfu wewe. Si serikali ya samia wanamshikilia tu kibabe kumkomoa kuwafurahisha wafuasi wa mbowe? Wamemfikisha mahakamani ameshinda kesi zote mbili. Kesi ya tatu ni ya ajabu. Mtu alikua anapambana na wshujumu wa uchumi eti wamemshitaki kwa kuhujumu uchumi. Bullshit ccm ya samia. Uhuni mtupu. Wameshindwa kupata kesi ya kumfunga sasa wanamlazimisha aplead out of court.
Sabaya ni jambazi, mnyang'anyi na haramia. Acha aozee gerezani.
Amemfanyia nani ujambazi su amemnyang'anya nani? Hskuna ushahidi ni chuki tu.
 
Kuna mhimili uliojichimbia chin zaid in jiwes voice
 
Sabaya ni mfano wa mtoto wa kambo kwa mama wa kambo anayepitia mateso baada ya kifo cha baba yake.....
 
We gambo mbona una kiwewe[emoji1787]

Muache sabata akae panapomstahili huyo ni jambazi la ukweli anapaswa kutumikia maovu yake. Waliobambikiwa ndio wanafutiwa.[emoji2]
 
Imeandikwa, mthamini jirani yako kuliko nafsi yako
 
Imeandikwa, mthamini jirani yako kuliko nafsi yako
 
Tuliwaambia mkatia jeuri huyo mmsai mwenzenu ss hv mbalialia humu.

Sabaya yupo sehemu sahihi panapomstahili
 
Bado yupo yupo sn sabaya
 
Uko so fragile yet you act tough. Boya kweli. Why are you triggered sasa? Mimi mwenyewe nimekupa jibu nitakalo nashangaa puru imekuwasha

Huna haja ya kulazimisha mabasha kinguvu boss. Nimeshakupotezea unalazimishia tu, mna shida gani nyie upinde?
 
Sabaya ni jambazi, mnyang'anyi na haramia. Acha aozee gerezani.
Hata mitume walianza kuwasamehe hao wakosaji.

Msamaha ni kwa mkosaji sio kwa ambaye hana kosa?

Kama Rais anataka thawabu amsamehe Sabaya na sio Lema ambaye hana kosa

Lolote.
 
Huna haja ya kulazimisha mabasha kinguvu boss. Nimeshakupotezea unalazimishia tu, mna shida gani nyie upinde?
Huna jeuri ya kunipotezea, we mchumba tu, unaquote na kujibu ninachoandika halafu unasema unanipotezea, wewe ni kamtu weak sana na pasi na shaka uliteswa utotoni kwa namna nisiyotaka kuimagine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…