Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Hii unasema wewe au kasema samiya?
Ndio uhalisia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii unasema wewe au kasema samiya?
Jifunze kujibu swaliNdio uhalisia.
Jifunze kujibu swali
Nimekuja na swali uliloshindwa kujibuUmekuja na marking scheme nini?
Sabaya ana kosa gani pumbsfu wewe. Si serikali ya samia wanamshikilia tu kibabe kumkomoa kuwafurahisha wafuasi wa mbowe? Wamemfikisha mahakamani ameshinda kesi zote mbili. Kesi ya tatu ni ya ajabu. Mtu alikua anapambana na wshujumu wa uchumi eti wamemshitaki kwa kuhujumu uchumi. Bullshit ccm ya samia. Uhuni mtupu. Wameshindwa kupata kesi ya kumfunga sasa wanamlazimisha aplead out of court.Dhamira ya Rais sio ya dhati .
Anawatumia tu Chadema kwa manufaa ya kisiasa.
Wenye makosa ndio wanapaswa musamehewa ili msamaha uhesabike.
Kwakua Lema hana kosa basi hajafanya lolote kumsamehe maana tayari hana kosa.
Anayepaswa hapa kusamehewa ni sabaya maana ndiye mkosaji.
Hakuna faida yeyote kumsamehe asiye na kosa.
Ila mtu anapata thawabu kwa kumsamehe mkosaji.
Hapa kama kawaida CHADEMA mnatumika.
Amemfanyia nani ujambazi su amemnyang'anya nani? Hskuna ushahidi ni chuki tu.Sabaya ni jambazi, mnyang'anyi na haramia. Acha aozee gerezani.
Hapa Naona kizunguzungu tu.
Rais akiwa Arusha anasema alizungumza na Lema na kumwambia kwamba asihofu arudi nyumbani atamfutia kesi zake.
Jambo hili linashangaza mno.
Mosi, Rais anapata wapi mamlaka ya kuingilia mhimili mwingine?
Haoni kwamba anavunja katiba hadharani?
Tunaposoma katiba tunaona kwamba Mahakama ni mamlaka inayojitegemea.
Yeye nguvu za kuingilia Mamlaka nyingine anazitoa wapi?
Ukiachana na hilo.
Lema ni mpinzani. Yeye ni Chama tawala.
Chukulia mfano wa mtoto na mtoto wa jirani.
Yaani inakuwaje mama anaacha wanawe wanalia njaa halafu anapeleka chakula kwa watoto wa jirani.
Huyu atakua mzazi wa aina gani?
Rais yupo tayari kufuta kesi ya Lema hata kwa kuvunja katiba lakini hayupo tayari kuvunja katiba kwa kufuta kesi ya Sabaya ambaye ni mwanachama wake.
Upendo wa mashaka huu. Au tuuiteje.
Maana Logically it doesn't make sense at all.
Nimekuja na swali uliloshindwa kujibu
We gambo mbona una kiwewe[emoji1787]Hapa Naona kizunguzungu tu.
Rais akiwa Arusha anasema alizungumza na Lema na kumwambia kwamba asihofu arudi nyumbani atamfutia kesi zake.
Jambo hili linashangaza mno.
Mosi, Rais anapata wapi mamlaka ya kuingilia mhimili mwingine?
Haoni kwamba anavunja katiba hadharani?
Tunaposoma katiba tunaona kwamba Mahakama ni mamlaka inayojitegemea.
Yeye nguvu za kuingilia Mamlaka nyingine anazitoa wapi?
Ukiachana na hilo.
Lema ni mpinzani. Yeye ni Chama tawala.
Chukulia mfano wa mtoto na mtoto wa jirani.
Yaani inakuwaje mama anaacha wanawe wanalia njaa halafu anapeleka chakula kwa watoto wa jirani.
Huyu atakua mzazi wa aina gani?
Rais yupo tayari kufuta kesi ya Lema hata kwa kuvunja katiba lakini hayupo tayari kuvunja katiba kwa kufuta kesi ya Sabaya ambaye ni mwanachama wake.
Upendo wa mashaka huu. Au tuuiteje.
Maana Logically it doesn't make sense at all.
Imeandikwa, mthamini jirani yako kuliko nafsi yakoHapa Naona kizunguzungu tu.

Uko so fragile yet you act tough. Boya kweli. Why are you triggered sasa? Mimi mwenyewe nimekupa jibu nitakalo nashangaa puru imekuwashaKamuulize mkeo maana ndio anakutegemea, hapa unapewa jibu mtu atakalo, hutaki jinyonge.
Tuliwaambia mkatia jeuri huyo mmsai mwenzenu ss hv mbalialia humu.Dhamira ya Rais sio ya dhati .
Anawatumia tu Chadema kwa manufaa ya kisiasa.
Wenye makosa ndio wanapaswa musamehewa ili msamaha uhesabike.
Kwakua Lema hana kosa basi hajafanya lolote kumsamehe maana tayari hana kosa.
Anayepaswa hapa kusamehewa ni sabaya maana ndiye mkosaji.
Hakuna faida yeyote kumsamehe asiye na kosa.
Ila mtu anapata thawabu kwa kumsamehe mkosaji.
Hapa kama kawaida CHADEMA mnatumika.
kwani kesi za Lema ni zipi na zilikuwa ngapiKesi za kubambika rahisi kuzifuta.
Bado yupo yupo sn sabayaAmeanza kulewa madaraka mapema. Wahuni kama lema anaona wako sahihi. Mtu anaropoka ovyo. Kiitikadi na ccm ni mota na maji. Jitu libinafsi eti mama anamfutia kesi. Sijui hata anajua kesi zinahusu nini. Huwezi kua kiongozi shwari tu na wapinga maendeleo unawafutia kesi huku kijana sabaya aliyepambania sera za ccm kujali wanyonge kupata haki na kupingana na fisadi na wakwepa kodi unajidai humuoni. Adui zake wanamsulubisha kwa ushirika na serikali unayoiongoza.
Uko so fragile yet you act tough. Boya kweli. Why are you triggered sasa? Mimi mwenyewe nimekupa jibu nitakalo nashangaa puru imekuwasha
Nenda kaulize kule Kiraracha, Hai, Kibororoni na kwingineko utakutana na wahanga kibaoAmemfanyia nani ujambazi su amemnyang'anya nani? Hskuna ushahidi ni chuki tu.
Hata mitume walianza kuwasamehe hao wakosaji.Sabaya ni jambazi, mnyang'anyi na haramia. Acha aozee gerezani.
Huna jeuri ya kunipotezea, we mchumba tu, unaquote na kujibu ninachoandika halafu unasema unanipotezea, wewe ni kamtu weak sana na pasi na shaka uliteswa utotoni kwa namna nisiyotaka kuimagineHuna haja ya kulazimisha mabasha kinguvu boss. Nimeshakupotezea unalazimishia tu, mna shida gani nyie upinde?