Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

Mosi, Rais anapata wapi mamlaka ya kuingilia mhimili mwingine?

Haoni kwamba anavunja katiba hadharani?

Tunaposoma katiba tunaona kwamba Mahakama ni mamlaka inayojitegemea.

Yeye nguvu za kuingilia Maml
Rudia tena kuisoma vizuri hiyo katiba kwa utulivu, utaona mamlaka anapoyatoa.
 
Kesi ya Lema unaijua ?
 
Kwani ujambazi na ugaidi una tofauti gani?
Madai ya katiba mpya yanakosa nguvu kwakua .

Kwa katiba hii ya zamani Rais ana mamlaka ya kushitaki au kufuta kesi anavyopenda.

Sasa kwanini tuje na katiba mpya ambayo itamnyima uhuru Rais kufuta kesi kwa watu tuunaowapenda??
 
Rais yupo tayari kufuta kesi ya Lema hata kwa kuvunja katiba lakini hayupo tayari kuvunja katiba kwa kufuta kesi ya Sabaya ambaye ni mwanachama wake.
Kwa hiyo unataka kusema Rais ni mnafiki? Au mimi sijakuelewa vizuri?
 
Sabaya ni Mzandiki, mzulumati, mnyanganyi, mwizi, mbakaji, wacha aozee jela

Lema kesi yake ya kubumba ya kisiasa. Makosa ya Sabaya jamii imeona akiyatenda
 
CcM kumnanga Mzee tokea ndani kwenda nje kikwetu kwetu tunasema ni JAU..! Kwa hiyo ni Lazima kukodi washambuliaji wa Timu pinzani ili kumsema vibaya Mzee na mamlaka zitakaa kimya eti Demokrasia...
 
CcM kumnanga Mzee tokea ndani kwenda nje kikwetu kwetu tunasema ni JAU.ssl.! Kwa hiyo ni Lazima kukodi washambuliaji wa Timu pinzani ili kumsema vibaya Mzee na mamlaka zitakaa kimya eti Demokrasia...
Demokrasia ingeanza. Kwa spika mstafu Ndugai.

Demokrasia gani inachagua watu??
 
Kulikuwa na kesi ya wizi wa magari mzee! Ile yakisiasa nayo?
 
Moja ya masharti ya maridhiano ya Mama Asali na Mbowe ni kuwa Sabaya lazima afungwe maana alimpa shida sana. Hivyo Sabaya asitegemee mteremko.
 
It make alot of sense, kesi za kubambikiwa kisiasa Lema ni tofauti na kesi ya jambazi Sabaya.
 
Lema Hana hiyana!!
Ataenda msalimia magereza jambazi mshamba kuwahi kutokea

"Sabaya na wenzake wanaokabiliwa na mashitaka saba likiwamo kosa la uhujumu uchumi, kuongoza genge la uhalifu, pamoja na kujihusisha na vitendo vya rushwa.

Juni 1, 2022, Sabaya na wenzake wanne walipandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) na kusomewa mashtaka yanayowakabili mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Salome Mshasha."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…