Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Magufuli si bora kwakwe! We Rais wa nchi anaenda kuitangazia Dunia kuwa yule Gaid na wenzake wamehukumiwa tayar mchezo! Alafu baada miezi anakuja kumfutia kesi hivi tuna Rais au! Rais anatoa kauli ambazo haziminiki! Kama aliweza kuiaminisha Dunia kuwa huyu Gaidi ndiyo ukae uamini malidhiano manayofanya siri?Acha umbeya mtoto wa kiume uyu mbowe aliyekuwa anateswa na magufuli kamuuwa nani? Nyie ndo mnatakiwa kukamatwa mkajibu mashtaka pumbavu
Mbowe ni mafia ukimuendea vibaya anakumaliza! Sio mtu wa mchezo mchezo yule