Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

Acha umbeya mtoto wa kiume uyu mbowe aliyekuwa anateswa na magufuli kamuuwa nani? Nyie ndo mnatakiwa kukamatwa mkajibu mashtaka pumbavu
Magufuli si bora kwakwe! We Rais wa nchi anaenda kuitangazia Dunia kuwa yule Gaid na wenzake wamehukumiwa tayar mchezo! Alafu baada miezi anakuja kumfutia kesi hivi tuna Rais au! Rais anatoa kauli ambazo haziminiki! Kama aliweza kuiaminisha Dunia kuwa huyu Gaidi ndiyo ukae uamini malidhiano manayofanya siri?

Mbowe ni mafia ukimuendea vibaya anakumaliza! Sio mtu wa mchezo mchezo yule
 
Dhamira ya Rais sio ya dhati .

Anawatumia tu Chadema kwa manufaa ya kisiasa.

Wenye makosa ndio wanapaswa musamehewa ili msamaha uhesabike.

Kwakua Lema hana kosa basi hajafanya lolote kumsamehe maana tayari hana kosa.

Anayepaswa hapa kusamehewa ni sabaya maana ndiye mkosaji.

Hakuna faida yeyote kumsamehe asiye na kosa.

Ila mtu anapata thawabu kwa kumsamehe mkosaji.

Hapa kama kawaida CHADEMA mnatumika.
Kwani raisi amempa lema msamaha au amefuta kesi kwasababu ni wazi kabisa ilikua ni ya kiasi kisiasa.. Na kwasabab awamu hii iliamua kuuzika siasa za awamu ya tano Waka kubaliana kufanya maridhiano yakisiasa... Hamna sehemu raisi katoa msamaha
 
Kuendelea kumuweka magereza sabaya ni kuendeleza siasa za awamu ya tano.
 
Magufuli si bora kwakwe! We Rais wa nchi anaenda kuitangazia Dunia kuwa yule Gaid na wenzake wamehukumiwa tayar mchezo! Alafu baada miezi anakuja kumfutia kesi hivi tuna Rais au! Rais anatoa kauli ambazo haziminiki! Kama aliweza kuiaminisha Dunia kuwa huyu Gaidi ndiyo ukae uamini malidhiano manayofanya siri?

Mbowe ni mafia ukimuendea vibaya anakumaliza! Sio mtu wa mchezo mchezo yule
[emoji1787] ndio huu huu umbeya ninaokwambia uupunguze mtoto wa kiume. Ukiambiwa ulete ushahidi utaanza kujamba hovyo.
 
[emoji1787] ndio huu huu umbeya ninaokwambia uupunguze mtoto wa kiume. Ukiambiwa ulete ushahidi utaanza kujamba hovyo.
Ushahidi wa nn unataka? omba Mungu akukutanishe na watu muhimu then ukutanae kwenye michongo ya maana alafu jifanye mjuaji unaweka kauzibe kama hupotezwi
 
Hapa Naona kizunguzungu tu.

Rais akiwa Arusha anasema alizungumza na Lema na kumwambia kwamba asihofu arudi nyumbani atamfutia kesi zake.

Jambo hili linashangaza mno.

Mosi, Rais anapata wapi mamlaka ya kuingilia mhimili mwingine?

Haoni kwamba anavunja katiba hadharani?

Tunaposoma katiba tunaona kwamba Mahakama ni mamlaka inayojitegemea.

Yeye nguvu za kuingilia Mamlaka nyingine anazitoa wapi?

Ukiachana na hilo.

Lema ni mpinzani. Yeye ni Chama tawala.

Chukulia mfano wa mtoto na mtoto wa jirani.

Yaani inakuwaje mama anaacha wanawe wanalia njaa halafu anapeleka chakula kwa watoto wa jirani.

Huyu atakua mzazi wa aina gani?

Rais yupo tayari kufuta kesi ya Lema hata kwa kuvunja katiba lakini hayupo tayari kuvunja katiba kwa kufuta kesi ya Sabaya ambaye ni mwanachama wake.

Upendo wa mashaka huu. Au tuuiteje.

Maana Logically it doesn't make sense at all.
Samia ni member wa genge la wahuni wa msoga ....
 
Back
Top Bottom